Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025 Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
7 Reactions
62 Replies
2K Views
Kwa 95% mwanaume atamwacha mwanamke wake iwapo mwanamke huyo ataacha kumpa mwanaume unyumba. 95% ya wanawake wanawaacha Wanaume zao pale Wanaume zao wanapoacha kuwapa pesa. . 5% ya wazazi...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndivyo navyoweza kusema, Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Tena huyo mmoja presha juu. Hulali, huhemi, hukohoi🤣🤣🤣 Mke mmoja anakulinda balaa nafuu ya Bodigadi. Una akili kweli? Na bado anaweza kuzaa nje ya ndoa na akakubambikia. Tusiposhtuka tutabaki...
19 Reactions
82 Replies
2K Views
Ni mchezo uliojaa wachezaji wengi Wamarekani weusi na waafrika waliobadili maisha yao kwa mishahara inayoenda mpaka bilioni 3 kwa wiki Huwa ni vijana warefu wenye miili ya mazoezi, wanatupia...
1 Reactions
3 Replies
620 Views
Kuna sehemu hivi huwa napiga menu ,ni hii migahawa ya mtaani maarufu kama kwa mama ntilie.so nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na huyu demu,ebana she is very loyal and respective kwangu. Jana...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Happy Valentine my babe, Sweety 🤣😍😘 napenda jinsi ulivyo,ngoja nishuke kikwetu. I love the way your. Your all to me and I never knew that you love me. So much. I love u too. I wish your here...
12 Reactions
215 Replies
6K Views
Wakuu Mpenzi wangu hapokei simu tangu asubuhi. I'm very sad
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Habari za jioni! Jamani mwenzenu jana nimezinguana na baba watoto, katika purukushani nikamwambia niache nitikise kibiriti, akanijibu subiri. Sijakaa vizuri imeingia sms "Mimi baba Kidogoli...
19 Reactions
142 Replies
10K Views
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za...
0 Reactions
5 Replies
574 Views
Alafu sema hitimisho lako linakuwaje katika mchezo huo ili huyu mama aendelee kuwa nawe?.
12 Reactions
80 Replies
3K Views
Salaam alaikum, Kijana wa chuo,kijana wa kiume ambaye familia yake ilitegemea apate elimu Kisha kupitia elimu hiyo ukombozi wa kiuchumi upatikane kwa wanaomtegemea,ameamua ajirushe gorofani kisa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Na kuunganisha tendo juu kwa juu mfululizo hata raundi tatu ina hatari yoyote labda kiafya miongini mwa wenza husika? Nani ananyanyasika au anaathirika zaidi mathalani kwa uchovu au michubuko...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo nimeona valentine isiwe kinyonge sana Kwa sisi vijana nmekuja na kitu kinaitwa timing Kijana jua neno timing ambalo uhusiano wake na time Timing ya jambo Fulani ili ulifanikishe ni lazma...
5 Reactions
12 Replies
960 Views
Naam katika safari hukosi mwanamke hasa mweupe kiti cha kushoto kwa ajili ya service barabarani,,,manake nyama za oda mara kadhaa hugonganisha magari, Basi kutokana na hali ya tamaa nagharama za...
0 Reactions
8 Replies
694 Views
Ndivyo navyoweza kusema Watu wamesherehekea vyema na wapenzi wao ,kila sikukuu ina maana yake. Wapo wanaotaka out kila weekend,. Lakini outing ya Leo ni ya kipekee Kwa wengi. Wapo wanakula...
4 Reactions
4 Replies
431 Views
MTAKATIFU VALENTINO, PADRI NA ASILI YA SIKU YA WAPENDANAO ( VALENTINE DAY ) Siku ya Valentine Day asili yake ni kutoka Dola ya Warumi. Ni siku ya kumkumbuka Padre Valentino aliyeuawa na utawala...
1 Reactions
1 Replies
567 Views
Kuelekea siku ya wapendanao "Valentine's day" watu wengi hukuna vichwa ni zawadi gani wawapatie wawapendao. Wengine huwaza sana na kuwa na hofu kwa sababu hawana pesa nyingi kuweza kuwanunulia...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Back
Top Bottom