Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Imekua ikinitokea kwa mademu kadhaa naanza nao kwenye mahusiano ila baada ya kupeana mabusu mademu hao mawasiliano yanaisha hapo hapo na wengine wana block namba yangu, wa mara ya mwisho...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Twendeni taratibu limenikamata mwenzenu!, Mkeka umekaa hivi Janeth siku yake yakuzaliwa ni 23/2... ambayo ni leo!. Jackie nae mchepuko siku yake ya kuzaliwa ni 23/2.. ambayo pia ni leo!. Bongo...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Mahusiano ya miaka na nyakati hizi yamegubikwa na changamoto nyingi sana kutokana na kusokenana na mfumo rasmi wa kuratibu na kusimamia ustawi wake katika hatua za awali na kadiri muda unavyozidi...
0 Reactions
7 Replies
860 Views
JamiiForums nyumba ya wajuvi , Wajuvi ninawasalimu, Niende Moja Kwa Moja kwenye lililonifanya niandike .. Ulicope vipi baada ya kuachana na mtoto wa mamkwe.. Let's say mmedate, mmeunganisha...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Moja ya taasisi kongwe saana duniani ni "familia". Familia ndiyo kiunganishi cha kwanza cha jamii. Jamii iliyoungana siku zote hufanikiwa kwa kila jambo lifabyikalo. Hivyohivyo, Familia/wanandoa...
8 Reactions
72 Replies
6K Views
Ninahitaji mtu aliye Magugu,Manyara Akiwa anajishughulisha na mchele au mpunga itakuwa Aulaa Zaidi 0744883353
4 Reactions
16 Replies
828 Views
Wakuu, Kwanza Cha Moto unaanza kukiona pale mimba ya mkeo ikikaribia kujifungua (yaani miez 7 Hadi 9). Hapa wanawake wengi sn (hasa WA mjini) wanachoka kabisa na kuhitaji kupumzika Mara Kwa...
42 Reactions
173 Replies
6K Views
MwanaFA aliimba "Aliyelala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi, na wala si bwana harusi...na bado mnanishauri harusi..." ILA WANAWAKE WANABAYA SANA SOMETIMES...sasa kama unampenda huyo mtu...
12 Reactions
66 Replies
8K Views
Aseee, Mimi ndie. FREE ERICK KAFLAG! Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto...
8 Reactions
93 Replies
7K Views
..WAKUBWA humu ndani, Boxing Day ilikuwa Poa Sana kwangu, kwani Ule mzigo nilioufuatilia miezi miwili nyuma ulikuja maeneo. Sasa huku mechi inaendelea Mistaili Kama yote, Kufika Mbuzi kagoma...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Sasa ni wazi kuwa Kizza Besigye alichumbiana na Janet Museveni mke wa Yoweri Museveni (Rais wa Uganda) kabla ya Museveni kumuoa. Baadaye, Besigye kama daktari wa binafsi wa Yoweri Museveni...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Wakuu, Yapata miaka miwili iliyopita tangu niamue kuachana na binti niliyempenda sana. Ilikuwa hivi.... Binti alikuwa anasoma kidato cha nne mwaka huo,ikatokea nimempenda sana,nikaanza nae...
3 Reactions
7 Replies
571 Views
1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
59 Reactions
147 Replies
6K Views
Mambo vipi watu wa Mungu? Ebana nilikua nauliza,hivi kuna tija au ulazima wowote wa kuwa karibu na ndugu wa mke? Asanteni
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadada wengine aibu hawana. Umemuacha mwanaume wakati amepoteza kipato na haitoshi ukamsaliti tena wazi wazi kila mtu anaona! Kaka wa watu amejipiga ameinuka tena, unarudi na blah blah eti...
14 Reactions
31 Replies
1K Views
1. Uvivu unaua ndoa. 2. Tuhuma zinaua ndoa. 3. Kutokuaminiana kunaua ndoa. 4. Kutoheshimiana kunaua ndoa. 5. Kutosamehe, Uchungu, Chuki, Uovu na Hasira zinaua ndoa. 6. Mabishano yasiyo ya lazima...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi...
2 Reactions
7 Replies
578 Views
Hivi ni kweli kuna dawa za mvuto wa mapenzi? Yani dawa inayoweza kufanya umpate msichana yeyote unaemtaka. Na kama zipo na zipata wapi? Maana kuna mtoto ananisumbua mwaka wa pili huu hataki...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Wakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa. Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…