Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui. Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha. Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema...
16 Reactions
146 Replies
2K Views
SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi...
2 Reactions
13 Replies
249 Views
Siku hizi walimu wa maisha wametapakaa wanafundisha watu kupata pesa, kudumu kwenye ndoa na familia na kuwa na maisha mazuri ila kituko kwa hao walimu kila wafundishacho ni kinyume chake na hata...
1 Reactions
5 Replies
81 Views
Ebu isikilize hii Ng'ombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
16 Reactions
225 Replies
3K Views
That's why it's always good to use protection and if possible get tested.
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Nigerian preacher and marriage counsellor, Reverend Funke Felix-Adejumo has advised married men not to wear themselves out in an attempt to satisfy their wives, saying no man can completely please...
0 Reactions
2 Replies
121 Views
4 Reactions
33 Replies
368 Views
Kuna wakati unajihisi umechoka, unahisi mambo yako hayaendi, na kila hatua unayopiga ni kama unavutwa nyuma na kamba usiyoiona. Unakaa na kutafakari; "Mbona nina elimu? Mbona nina juhudi? Mbona...
4 Reactions
6 Replies
533 Views
Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu, Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio...
1 Reactions
383 Replies
38K Views
Kuna baadhi ya wanawake wamekua wakiwaomba mabwana zao kuwapatia mimba na bila kua na sababu za msingi zinazo wafanya kua na maamuzi kama hayo, na hua sijuagi wanalenga nini mana kinachotokea...
15 Reactions
102 Replies
2K Views
Dada huyu anajua mahaba balaa nyuzi zake za kishua.natamani nipate mke mwenye mahaba kama yeye.
9 Reactions
35 Replies
487 Views
SIFA ZA MWANAUME BORA WA KUKUOA, KUWA MUMEO NI HIZI HAPA! 2025 FANYA KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanawake wengi hulalamika kutokujua ni mwanaume gani anasifa za kumwoa. Wengi...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Bwana yesu asifiwe, Nanguliza shukrani kwako wewe ambaye umesoma hapa, Nina orodha ya udanganyifu niliowahi kufanyiwa na wenzangu ( wapenzi mbali mbali) ila niligundua. 1. Mmoja mwanafunzi wa...
41 Reactions
539 Replies
97K Views
Usipende kujiamlia Mambo kijana kama hujaoa nakushauri kaa mbali na mabinti wa chuo kama lengo ni kupata waifu matilio ogopa mataperi chuo hakuna waifu matilio msije kusema sijawaambia
2 Reactions
18 Replies
201 Views
unatoa posa laki 8 kuoa mwanamke wakati aliyemtoa bikra alipiga mzigo kwa buku. matokeo ndo haya unataka ndoa hazidumu
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Mim nimelelewa na single mother tangu nikiwa na umri wa miaka miwili, na nimemuona father kwenye picha tu. Alifarik 2010 lakin hata kweny msiba wake sikuenda kwa sababu sijui kwao, hata mama...
10 Reactions
14 Replies
355 Views
Mtu haogopi kuchukua mke wa mtu. Anamkunja na kumuinamisha anavyotaka . Mbaya zaidi anakuwa anapikiwa na kufuliwa nguo. Hivi vijana wa siku hizi mna kuwa na ujasiri gani wa kufanya haya mambo?
3 Reactions
21 Replies
414 Views
Nikiwa nje ya mkoa kikaz bibi anabaki darisalama. Ikiwa nimekata mwezi mzima bila kukutana na bibi enu najikuta kuna muda napata ashiki hata niking'ang'ania nguzo ya umeme namwaga wazungu. Na...
1 Reactions
1 Replies
182 Views
HAbari za muda huu wana JamiiForums. Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa afya njema na uzima wa kiroho na kimwili. Leo nimekuja kuwashukuru walio niadvice kwa busara zao na kwa neema ya Mungu...
9 Reactions
56 Replies
769 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…