Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka...
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani...
Hivi inawezekanaje mka do na mama yako mzazi kweli? Unaanzaje!,mnabadilishana mate nk. Hapa mi naona utakuwa na akili ya kuvalia nguo tu,huu ni utamaduni wa wapi?
nashindwa kuwa na msichana naempenda kisa jina la baba yake pia uwezo wake mkubwa wa kifedha (clara), nlkuwa nae kwa miez 6 lakini kila nikipita nanyooshewa kidole kuwa mm mwanaume km binti, kuona...
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu...
Je, wewe ni binti unayependa kuwa na maisha ya familia yanayompendeza Mungu? Una elimu ya kidato cha nne na kuendelea? Ni mrembo? n,k. Basi njoo tusemezane. Mm ni mwanaume mwenye elimu ya chuo...
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu...
Habari zenu wanajamii, kiukweli hapa nimekwama ila sijilaumu kwani hata wewe msomaji japa ungeomba ushauri,katka pita pita zangu ujanani hivi karibuni nilifanikiwa kukutana na binti ni mzuri na...
Dunia kote watu wanaamini kwamba uelewa wa mtu binafsi na mambo yanayomzunguka hukuwa kulingana na umri. Uelewa huo humuwezesha mtu kutofautisha nzuri na baya, mtoto na mzee na mengine mengi...
Mdogo wangu anaumri wa miaka 30 anahitaji mwanamke wa kuoa.
Yeye yupo kijijini, hajasoma, mkulima, mfugaji na mfanya biashara.
Kabila lake ni msukuma.
Mahali itatolewa idadi ya ng`ombe 20 wa...
Nimekuwa na kumbana na malalamiko ya vijana wa kike wengi sehemu mbalimbali za nchi yetu wakiwalalmikia vijana wa kiume ooh kanipotezea muda, kanichezea sasa naomba kujua kama kuwa na mahusiano ya...
1: BACHELOR HUSBAND:
... Does things on his own without consulting his wife. Hangs out a lot with
friends more than his wife. Not serious about marriage life.
2: ACIDIC HUSBAND:
Is always...
Women ask so many questions
because they have an extra why chromosome
nilikuwa ninajaribu kuchunguza kwa nini wanawake wanakuwa na
maswali mengi sana nikakutana na hilo jibu hapo juu kuwa...
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya...
Habari zenu wanajamvi!
Eti waungwana,raha ya mapenzi ni nini hasa?
Nimeshakuwa na mademu wengi kila mmoja kwa wakati tofauti,huwa sichanganyi,ila sijawahi furahia mapenzi...raha ya mapenzi iko...
Hayo sio maneno yangu ila ya mmoja wa wanazuoni aliyekomaa.
Je kuna ukweli wowote ndani mwake?
Wataalam wa malavidavi babu@asprin, KakaKiiza, Mshirikina Mtambuzi, Mwita Maranya, watu8, na wana...
Jaman mm mwanamme waukel kabisa lakin mungu hajanijalia kua na maneno mazur ya kumwambia mwanamke,mfano km kumtongoza na mambo mengine,nna iman wapo watu wana kila njia ya kumpa maneno mazur...
WanaJF,
Hapa sijui km kuna ukweli au ni aina ya wanawake ninaokutana nao mm..........ila naona stories nyingi za wanawake zinawahusu ma-house girls wao, wanawake wenzao kwa sana, na wanaume...
Helo wanaJF,poleni na mishe za siku, I am a male,hivi karibuni nmepata betrayal kutoka kwa mtu ambaye nlikua simuexpect kabisa, ikabidi nkumbuke ule unaosema usimuamini mtu, surely I am a one girl...
In general, women tend to rely on words, whereas men rely on actions. So, when men speak sweetly to women, women believe them, even if they don't behave accordingly. Men, on the other hand, see...