Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

Maamuzi Magumu Kwa Niliyempenda!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu ya maisha,Tangu nikue kiakili na kimwili nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wasipungua wanne,katika hao wote nimelala nao kwa maana ya mapenzi lakini sikutarajia kuoa hata mmoja wao! Siku za hv karibuni nimetokea kumpenda mdada m1 na kumweleza hsia zangu juu yake,naye bila hyana alikubal japokuwa sijafanya naye kitu chochote! Sasa kilichonishangaza leo ananiambia hajakubaliana na mimi! Akasema ilikuwa utani! Na mimi sitaki kumpoteza,nataka awe mke wangu. Lakin yeye hatak hata kusikia! Uamuzi nitakaochua sidhan kama wanatetea haki za binadam watakubaliana mimi. Kwani nimepanga kumuoa kwa nguvu halafu tutajuana badae!
 
We kweli -----! Utaoaje kwa nguvu? Ndoa nimakubaliano kakangu! Jaribu uone km co kuishia kuangua kilio m2 mzima! Tafuta anokupenda baba!
 
Unataka kulazimisha ndoa? Yatakayokukuta usije unalia..!
 
Aiseee jf kuna vituko! Hivi kweli unaweza kumuoa mtu kwa lazima? Hivi wasichana walivyo wengi kwa nini uoe mtu asiyetaka kuwa nawe? Huu unaweza kuwa ni zaidi ya ugonjwa kwako!
 
HAHAHAHAAAAAAAA! Haloooooooooooooooooo! Watu na bahati zao!

Habari ziwafike

1.Wle wote wanaodai ndoa zimeadimika mjini humu

2.Wale wote wanaa amini mtu akiwa hajaolewa basi hajapata wa kumuoa, kumbe hajarizika tu kama huyu bidada

3.Wale wote wanao amini wanaume wa shida siku hizi.
 
duh ya leo kali unabeba kinguvunguvu
 
Usirudi tena hapa ukasema amenikimbia uwe tayari kwa yote maana ndoa ni makubaliano ya watu wawili kati ya mume na mke na si vingine.
 
najitolea kukusaidia KUMUWOWA KWA NGUVU na pia kwenye kuingiza nitakusaidia sawa eeee😛layball:
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu ya maisha,Tangu nikue kiakili na kimwili nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wasipungua wanne,katika hao wote nimelala nao kwa maana ya mapenzi lakini sikutarajia kuoa hata mmoja wao! Siku za hv karibuni nimetokea kumpenda mdada m1 na kumweleza hsia zangu juu yake,naye bila hyana alikubal japokuwa sijafanya naye kitu chochote! Sasa kilichonishangaza leo ananiambia hajakubaliana na mimi! Akasema ilikuwa utani! Na mimi sitaki kumpoteza,nataka awe mke wangu. Lakin yeye hatak hata kusikia! Uamuzi nitakaochua sidhan kama wanatetea haki za binadam watakubaliana mimi. Kwani nimepanga kumuoa kwa nguvu halafu tutajuana badae!
 
Haha haaaaa.. Kumbe hayo bado yako zama hzi..

Tupe mikakati.. Unampiga begani unakimbia nae au umejiandaaje lolz!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Haha haaaaa.. Kumbe hayo bado yako zama hzi.. Tupe mikakati.. Unampiga begani unakimbia nae au umejiandaaje lolz! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[kwa vyovyote vile ilimradi mzigo ufike
 
Itakuwa amezipata taarifa zako kwamba we ni mzee wa kumega tu. So endelea kumuonyesha hauko hivyo kwa kumpenda zaidi ili kuwaprove wrong waliomweleza. Huyo anakupenda kaka fanya hivyo.
 
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu ya maisha,Tangu nikue kiakili na kimwili nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wasipungua wanne,katika hao wote nimelala nao kwa maana ya mapenzi lakini sikutarajia kuoa hata mmoja wao! Siku za hv karibuni nimetokea kumpenda mdada m1 na kumweleza hsia zangu juu yake,naye bila hyana alikubal japokuwa sijafanya naye kitu chochote! Sasa kilichonishangaza leo ananiambia hajakubaliana na mimi! Akasema ilikuwa utani! Na mimi sitaki kumpoteza,nataka awe mke wangu. Lakin yeye hatak hata kusikia! Uamuzi nitakaochua sidhan kama wanatetea haki za binadam watakubaliana mimi. Kwani nimepanga kumuoa kwa nguvu halafu tutajuana badae!

Only marijuana smokers can possibly do that, perhaps you are among them!
 
Itakuwa amezipata taarifa zako kwamba we ni mzee wa kumega tu. So endelea kumuonyesha hauko hivyo kwa kumpenda zaidi ili kuwaprove wrong waliomweleza. Huyo anakupenda kaka fanya hivyo.[Inawezekana kuna watu wamemtonya kuhusu mimi! Kwa maana hainingii akilini kama unaweza kukubaliana na mtu! Mkiwa na akili then akubadilikie bila sababu!
 
rudi kwa kwenye sheria za ndoa na tafsiri ya ndoa utagundua kuwa unachotaka kukifanya sio ndoa kwani ndoa ni makubaliano ya hiari baina ya mwanamke na mwanaume ya kuishi pamoja kama mume na mke katika maisha yao yote. endelea kumshawishi ikishindakana andika maumivu tu.
 
HAHAHAHAAAAAAAA! Haloooooooooooooooooo! Watu na bahati zao!

Habari ziwafike

1.Wle wote wanaodai ndoa zimeadimika mjini humu

2.Wale wote wanaa amini mtu akiwa hajaolewa basi hajapata wa kumuoa, kumbe hajarizika tu kama huyu bidada

3.Wale wote wanao amini wanaume wa shida siku hizi.

msg sent & deliverd
 
sasa nin zamu yako kuachwa kama wewe ulivyowaacha hao wanne,,, sasa wewe ni tmes 2.... jiandae kataliwa ndoa na Mabinti NANE........ na huyo ndo wa kwanza,... 7 more to come.. pole sana..
 
HAHAHAHAAAAAAAA! Haloooooooooooooooooo! Watu na bahati zao!

Habari ziwafike

1.Wle wote wanaodai ndoa zimeadimika mjini humu

2.Wale wote wanaa amini mtu akiwa hajaolewa basi hajapata wa kumuoa, kumbe hajarizika tu kama huyu bidada

3.Wale wote wanao amini wanaume wa shida siku hizi.

Naona umefurahi kwelikweli, ah! haya bwana
 
wewe inabidi uende ukaione ngoma ya chagulaga. Hapo unaweza kuoa kwa lazima lkn sio mjini .
 
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu ya maisha,Tangu nikue kiakili na kimwili nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wasipungua wanne,katika hao wote nimelala nao kwa maana ya mapenzi lakini sikutarajia kuoa hata mmoja wao! Siku za hv karibuni nimetokea kumpenda mdada m1 na kumweleza hsia zangu juu yake,naye bila hyana alikubal japokuwa sijafanya naye kitu chochote! Sasa kilichonishangaza leo ananiambia hajakubaliana na mimi! Akasema ilikuwa utani! Na mimi sitaki kumpoteza,nataka awe mke wangu. Lakin yeye hatak hata kusikia! Uamuzi nitakaochua sidhan kama wanatetea haki za binadam watakubaliana mimi. Kwani nimepanga kumuoa kwa nguvu halafu tutajuana badae!

Mh!! hii kiboko, mwenzio juzi tu yamenikuta kama haya na mpaka sasa naendelea kuuguza kidonda, ila huu uwamuzi wako unaotaka kufanya kiongozi mh!! hii kali ya mwaka aisee
 
HAHAHAHAAAAAAAA! Haloooooooooooooooooo! Watu na bahati zao!

Habari ziwafike

1.Wle wote wanaodai ndoa zimeadimika mjini humu

2.Wale wote wanaa amini mtu akiwa hajaolewa basi hajapata wa kumuoa, kumbe hajarizika tu kama huyu bidada

3.Wale wote wanao amini wanaume wa shida siku hizi.

Hahahaaa...hapo chacha!!
 
Back
Top Bottom