Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mim ni mama nliyepo kwenye ndoa ya Kikristo,sasa mume wangu anapenda niwe nasagwa halaf huyo msichana anayenisaga awe anatulala wote yaan mapenz ya watu watatu.,Kwa hali ya kawaida mume wangu...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
wakati uwezekano kupatikana kwa dawa na chanjo ya ukimwi ukiwa unatia matumaini makubwa kuwa mda si punde dunia itaondokana na hofu ya ukimwi. HOFU YANGU NI KWAMBA WATU WATAONGEZEKA ZAIDI KWA MDA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mimi swali langu ni fupi tu!kuna uhusiano gani wa hamu ya mapenzi (nye**) na hasira?! Nimejichunguza muda mrefu kidogo na nimegundua nisipopata yale mambo kama kwa wiki hivi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Nawasalimu wakuu! Ya jana yamepita jamani nimenusurika BAN, namshukuru mola, ila sijakata tamaa, najua MM the F ana play HARD TO GET, na mimi I HAVE ALL THE TIME TO WAIT, sieti hata nyie wakiume...
12 Reactions
127 Replies
12K Views
:: Yafuatayo ni majibizano ya wanandoa wawili,waliachana sasa wamekutana njiani,yako hivi :: MWANAUME; Nilipomaliza pesa Mateso ya dunia.Ndipo ukazua kisa nisichokidhania.Ulidhani nitakufa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mara nyingi utawasikia baadhi ya watu wakijirahumu kutokana na kufikiri kuwa sura zao na maumbo yao kutokuwa na mvuto kwa watu ambao wangependa kuwa nao katika mahusiano (Mapenzi) lakini kwangu...
1 Reactions
195 Replies
19K Views
SEHEMU YA 1: NYWELE sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke. Walio wengi...
12 Reactions
100 Replies
339K Views
Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha...
0 Reactions
7 Replies
893 Views
How to Track the location of my husband with his cell phone? my husband is going out of town for what he says is a Business trip. i have my doubts but i would like to know if...
0 Reactions
25 Replies
15K Views
Je mlikuwa mnayajua haya…? 1-Kwa kawaida mwanaume huweza kufurahia tendo la ndoa bila hata kumpenda mwanamke, lakini kwa mwanamke, hiyo ni tofauti, kwani hawezi kufurahia tendo la ndoa...
18 Reactions
47 Replies
9K Views
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi Buzuruga Mwanza nakata tiketi ya dogo; mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu; mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea, akanisonya...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
=== === "Hii Sio Mchina, Mwanamke Mwenye Mahispsi Makubwa Kuliko Wote Duniani" Kama umesikia wanaume wanaweza kuvunja shingo wakigeuka kumuangalia mwanamke akipita, basi huyu mwanamke...
1 Reactions
27 Replies
26K Views
Kwa sisi wanaume kuna umri flani ukifika kitendo cha kuwa na msichana zaidi ya mmoja ni ushamba, nimewataja masela coz kumiliki madem wengi ni kama katabia miongozi mwetu. Umri huu ukifika...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
3 Reactions
52 Replies
39K Views
96% of females enjoy it when their partner kisses their neck. wadada wa jf ni kweli hayo?? mnasikia raha gani? what abt kiss on masaburi?
2 Reactions
130 Replies
14K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, Mimi ni mwalimu natafuta mke wa kuoa nina imani hata humu ndani anaweza patikana kwani hatukuainishiwa sehemu ya kumpata mke aliye sahii. Pia mimi ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, Merian asema anajuta kwa nini alikubali kuolewa. Merian na Joseph (haya siyo majina yao halisi) ni mtu na mumewe. Nikiwa katika Mkoa wao kikazi, niliamua...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Nifanye nini kuwaepuka watu wanao niomba omba hela. Naombeni ushauri wenu pls coz its getting in to worse, hazipiti siku mbili bila kupokea ujumbe mfupi wa maneno kutoka...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeziona wanauza maeneo fulani hiv ya Morogoro, ni kati ya Morogoro na Mikumi. Hapo mahali ni mashuhuri kwa kuchimba dawa ikiwa unasafiri kwa mabasi kwenda nyanda za juu kusini kutoka Dar ama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Niliwahi kukutana na mkaka ambaye alikataliwa kabla hajazaliwa na hadi Leo ana zaidi ya miaka 30 na bado anaumia kwa mwanaume Yoyote kumwita Mwanangu.. Jamani 2namsaidiaje huyu? Hadi baba yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…