mdeki
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 3,299
- 477
Ni kawaida kwa wadau mbalimbali humu kuomba msaada hasa wa kimausiano. Nasema asante sana wadau humu jamvini kwani maujuzi na mbinu mbalimbali(zilizonzuri)mnazoweka humu zimenisaidia kuimalisha mahusiano yangu na mwenzangu hasa zile tips8 we acha tu! Ingawa hatujuani lakini mmenisaidia sana thanks for mzizi mkavu et al
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums