Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Yafuatayo ni majibizano ya wanandoa wawili,waliachana sasa wamekutana njiani,yako hivi
::
MWANAUME;
Nilipomaliza pesa Mateso ya dunia.Ndipo ukazua kisa nisichokidhania.Ulidhani nitakufa ukanikimbia,kumbe mwenzangu ni nyoka una mazoea.
..
MWANAMKE;
Wajidai na nini,kwanza huna chochote nyumbani,masuti njiani huku nyumbani kunguni telee!
..
MWANAUME;
Wanipenda juu kwa juu,na pesa zangu wataka kwa wingi,tangu hapo zamani..
..
MWANAMKE;
Pesa gani au Pendo gani unaloweza kunipa wewe? Mtazame mwenzako anavyoporomosha pesa zake.
..
MWANAUME;
Kutupa tupa mali,sitoweza mimi pita mbali.
::
JAMANI WANA JF,
JE KUNA ULAZIMA WA KUELEZEANA MAPUNGUFU YENU MARA TU MNAPOACHANA?
=