Nimefurahi kuwa member wa JF

Nimefurahi kuwa member wa JF

ngina rema

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
215
Reaction score
81
Niliwahi kukutana na mkaka ambaye alikataliwa kabla hajazaliwa na hadi Leo ana zaidi ya miaka 30 na bado anaumia kwa mwanaume Yoyote kumwita Mwanangu..
Jamani 2namsaidiaje huyu? Hadi baba yake anakufa hajawahi kumkubali na yeye hajamsamehe.. Tatizo linalomwandama kwa sasa, anakubalika sana ila baada ya muda anachokwa, hata makazini....
 
Karibu sana JF...
Vipi unatetemeka vidole au??? mbona unaandika vitu vinasomeka lakini ni full mkorogano??

Niliwahi kukutana na mkaka ambaye alikataliwa kabla hajazaliwa na hadi Leo ana zaidi ya miaka 30 na bado anaumia kwa mwanaume Yoyote kumwita Mwanangu..
Jamani 2namsaidiaje huyu? Hadi baba yake anakufa hajawahi kumkubali na yeye hajamsamehe.. Tatizo linalomwandama kwa sasa, anakubalika sana ila baada ya muda anachokwa, hata makazini....
 
Ampende Mungu na kumfanya Yesu kuwa baba yake. Hiyo ndo dawa pekee tu.
 
Back
Top Bottom