Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

unapokea simu saasaba za usiku halafu mtu anakuuliza UMELALA? Ukimjibu kuwa upo unasimamia vibarua shambani utakuwa umekosea? nawasilisha
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF: Nimekuwa nikijiuliza sijui ni wapi tunakoelekea, sijui ni mwisho wa dunia!? au ndio maendeleo!? Yaani sielewi kabisa, Sijui ni malezi baadhi ya watu!? Nimeonelea neweze...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
''mafanikio ya mwanaume mwanamke yumo na mafanikio ya mwanamke ni yakwake mwenyewe' najua wajua nami najuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
likuwa 2012 katika facebook nilikutana na kaka mmoja aliyecomment kwa picha yangu moja alicomment ( ur so cute) nikajibu asante simjui hanijui......siku zikaenda akarequeast friend request...
8 Reactions
229 Replies
22K Views
Vifo vipo katika series wameanza bongo movie wakaja wasanii wa muzik wa kizazi kipya nahisi ikifikia tasnia ya VITOMBI nitakukosa jembe langu!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa. Akamuachisha kazi. Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi? Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
I salute all MMU member, Hope mko sawa na kusaka shekeli ilhali mkijiandaa kumpokea baba mtarajiwa wa kitinda mimba wangu. Ni hivi nimekuwa nikipata shida sana hasa ninapokuwa namsimamia mtoto...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Mathis Family, Coy Left The 6-year-old, who was born a boy and still has all male genitals, chose to live as a girl. Coy Mathis, identifies herself as a girl and dresses as a girl. The school...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna aina nyingi za limbwata, kuna kaligoligo, shuntama (Maana kwa kiswahili inama) ya Kanda ya Ziwa ambayo akipewa mume, kila atakachoambiwa na mke atafanya. Lakini kuna limbwata ya kisaikolojia...
1 Reactions
24 Replies
14K Views
Wee uliye tuuuuuuuuuuu ucheka una mbavuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!! Leo nakuja hapa kuleta fback ya ule mzozo wetu na shostito mama ya kichanga mama yenye kubamba na LE BOSS. Siku zote...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wana JF,baadhi yenu mkiona miaka inakatika hamna hata ndoa jichunguze tu kwa hili dogo Mna miezi miwili unaulizia Ndoa wakati mamako alivumilia miaka 8 huku anavaa Vitenge,we unauliza ndoa...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Ukiachana na mpenzi wako halafu ukakutana na haya yafuatayo ujue bado unampenda na itakutesa sana hadi uje kumsahau... #. Mara tu baada ya jamaa/dem wako kukwambia "its over, pls tusisumbuane...
1 Reactions
41 Replies
52K Views
In one of his greatest album, Grown up and Sexy*, Baby face sang about loneliness. From the first line to the last, he misses his ex and as most of people in such circumstances he hopes he is...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Kuna mdau aliwauliza wanaume kwa nini mpaka leo hawajaoa? Nami naja kuwauliza wadada na wanawake, kwa umri huo uliokuwa nao kwa nini mpaka leo hii bado hujaolewa? Mie Madame B sijaolewa...
4 Reactions
116 Replies
10K Views
Nimetokea kufuatilia (accidentally) kipindi cha Mama Terry kwenye TV yao (TBC1) na kukutana na vitu ambavyo vimeniacha hoi... 1. Eti kuna rushwa ya ngono kwenye ndoa...mzee ananyimwa unyumba hadi...
15 Reactions
242 Replies
14K Views
WAKATI akili yangu ikianza kupata ufahamu, nilikuwa natatizika na kuwaza kitu gani hasa katika mapenzi kinaweza kumfanya mtu atulie ndani ya penzi lake. Niliamini kuwa na fedha ndiyo dawa ya mtu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nisiwachoshe. Moja kwa moja kwenye mada Mpenz wako msichana anakuambia sipo sawa wiki hii na siwez kukuambia kwa nini. Nipe week moja niwaze nambo yangu. WanaJf ni wazo gani la kwanza litakujia...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF habari za majukumu ya kila siku. Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake. Mke akitaka kusafiri anampa taarifa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwanini watanzania wengi hatupendani kwenye haya makampuni ya kigeni???? Most of them ni ma snitch to the bosses kumalizana sisi kwa sisi!!!!! tazama malipo ni madogo compared to them with...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…