Kwa uhusiano huu kwangu ni mtihani. Masaada jamani

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Wana JF natumai miwazima

Nimepata rafiki ktk huu mtandao ni wa kiume kama mm tunawasiliana sn kwa simu nampigia ila yy huishia kutuma sms tuu sio mbaya kwangu kwani anadai hali yake ni ngumu kimaisha na hana kazi.

Kilichonifanya niandike hapa na kutaka ushauri ni kua huyu rafiki yangu shida hazimuishi kila kukicha mara mmna shida ya msimbazi (10000) mara kiboki (5000) mi sina hiana nikiwa nayo namtumia nimeshamtumia zaidi ya 50000 wala hanijui nami simjui hatujawahi kuonana napenda sana kumashauri mambo ya maendeleo ili ajikimu kimaisha ila haonekani kua na muamko wowote.

Jamani nimeshindwa kujitambua kua ananichukuliaje kua mm ni rafiki yake au mzazi wake?

Kumchumia mwanaume mwenzako alie na nguvu asietaka kujituma si bora niowe nitapata faida

Hebu nishaurini jamaa nimpotezee maana naona kwangu imekua mtihani karibu ya kushindwa.
 
Tuseme unafahulu huo mtihani, what next?
 
Ishi nae kama digidigi maji kwishney!
 
Mmh! Kama huyo rafiki yako yumo humu JF, wewe usijali ujumbe ume/na/tafika, but inakubidi tu utambue haujamfanyia fear, ungeomba ushauri sehemu nyengine au ungemweleza direct but privacy kama umemchoka, sidhani kama mawazo utakayopewa hapa yatasaidia kuimprove urafiki wenu, afu wewe jembe but.........!
 
Mpe maarifa ya kupata Pesa usizoee kumpa Pesa kila anapokuomba maana unamjengea Mazingira ya Kudumaa ktk kutafuta Maisha.
 
hahahahahaha kumbe wanaume wachunaji nao wapo.....afu wanachuna vidume wenzao:smile-big::smile-big: ubarikiwe kwa huo moyo wa kujitolea kuwasaidia anonymous pesa,tena huyo anaomba kiasi kidogo sanaaaaaa kama yupo hapa ndani namshauri aongeze kiwango kabisa.
 
aisee kumbe kuna watu wanavuna pesa apa! !!!!!
kuishi mjini chuo kikuu wengine wanasound apa adi unatoa pesa japo uwajui. inaonekana uyo jamaa ana watu kama 100 apa anawapiga maneno mnatoa pesa. kujiajili uko mtaj internet. harafu mnasema hakuna fursa! !!!!!
 
Wana JF natumai miwazima

Nimepata rafiki ktk huu mtandao ni wa kiume kama mm tunawasiliana sn kwa simu nampigia ila yy huishia kutuma sms tuu sio mbaya kwangu kwani anadai hali yake ni ngumu kimaisha na hana kazi.

Kilichonifanya niandike hapa na kutaka ushauri ni kua huyu rafiki yangu shida hazimuishi kila kukicha mara mmna shida ya msimbazi (10000) mara kiboki (5000) mi sina hiana nikiwa nayo namtumia nimeshamtumia zaidi ya 50000 wala hanijui nami simjui hatujawahi kuonana napenda sana kumashauri mambo ya maendeleo ili ajikimu kimaisha ila haonekani kua na muamko wowote.

Jamani nimeshindwa kujitambua kua ananichukuliaje kua mm ni rafiki yake au mzazi wake?

Kumchumia mwanaume mwenzako alie na nguvu asietaka kujituma si bora niowe nitapata faida

Hebu nishaurini jamaa nimpotezee maana naona kwangu imekua mtihani karibu ya kushindwa.

Victim wa "chuma ulete".
 
...kumbe dume mwenzio.....mpe makavu, usivunge hali ni sawa wakati kinakukwaza
 
^^
Kwa kuwa u mkarimu
Mbebe kwa muda zaidi,,akikataa kubadilika basi mtue uendelee mbele na maisha yako.
Hapo atajifunza kusimama mwenyewe.
^^
 
Mmmh kwanza fafanua huo urafiki wenu unauelekeo gani? I can smell something unusual in your companionship! Kama vile ni kwenye yale mambo ya yule waziri mkuu wa London, David Ca.....
 
jf bana full raha full burudani. sikatai wengi tunasaidiana humu bila kujuana kiushauri,kwa madili.Ila huyo wako ni mulika mwizi meen!!!!
 
Wana JF natumai miwazima

Nimepata rafiki ktk huu mtandao ni wa kiume kama mm tunawasiliana sn kwa simu nampigia ila yy huishia kutuma sms tuu sio mbaya kwangu kwani anadai hali yake ni ngumu kimaisha na hana kazi.

Kilichonifanya niandike hapa na kutaka ushauri ni kua huyu rafiki yangu shida hazimuishi kila kukicha mara mmna shida ya msimbazi (10000) mara kiboki (5000) mi sina hiana nikiwa nayo namtumia nimeshamtumia zaidi ya 50000 wala hanijui nami simjui hatujawahi kuonana napenda sana kumashauri mambo ya maendeleo ili ajikimu kimaisha ila haonekani kua na muamko wowote.

Jamani nimeshindwa kujitambua kua ananichukuliaje kua mm ni rafiki yake au mzazi wake?

Kumchumia mwanaume mwenzako alie na nguvu asietaka kujituma si bora niowe nitapata faida

Hebu nishaurini jamaa nimpotezee maana naona kwangu imekua mtihani karibu ya kushindwa.

...huyo chicha mwiba anashindwa kukwambia tu mwana.....mtekenye kama analiwa au vp.....
 
Back
Top Bottom