Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hey ladies,natafuta rafiki wa karibu.picha yangu IMO hapa. Email yako kwa eastcharles72@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni rafiki yangu Wa kike na siku kadhaa zilizopita alipoteza simu yake ambayo ilikuwa Na picha alizojipiga akiwa half naked,Na nyingine ni Full naked. Kuna mjanja kaiokota akatafuta jina lake...
3 Reactions
197 Replies
14K Views
Kumekuwa na mijadala mingi humu jamvini inayohusiana na mahusiano hasa kwa wadada/wababa ambao hawajaolewa/kuoa, waliolewa/walioa au ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume,kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako hauwasumbui,kam a bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni Dar.Natafuta msichana mazuri wa tabia wa kunitoa upweke. Awe wa kusema na kutenda ukweli. Asipende pesa. Asante.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba mwanaume ili uonekane unajua mambo ya 6 kwa 6 lazima uwe hodari wa kwenda chumvini?... kwa mana kwamba km huendi chumvini huwezi kumfikisha mwanamke kunako na unaonekana we...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what...
2 Reactions
117 Replies
13K Views
1. Mara umalizapo kusoma txt mesej ya muasherati mwenzio futa 2. Ukisev majina kwenye simu yako tumia majina kama Fundi Bomba, Fundi friji, Mama wa TRA, na kadhalika 3. Siku ya mpambano msitumie...
12 Reactions
79 Replies
8K Views
ujana enzi ya shida enzi yenye andamizi! ujue waswahili wanasema majuto ni mjukuu! inatokea saa zingine unazini na mtu badae unakuja kujishangaa hivi ilikuwaje kuwaje...mpaka nikajiachia kwa...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Leo nimewaandalia kichuri, hapa mkoani mbeya, kuna kapart hapa kwangu maeneo ya forest
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwanaume anapomtaka mwanamke anakuwa na maneno matamu kupita kiasi ataongea kila aina ya lugha ilimradi tu akupate,na mwanzoni atakupenda na kukufanyia chochote utakacho mpaka utajikuta nawewe...
4 Reactions
134 Replies
13K Views
kuna rafiki yangu ni vvu+ anaitaji mchumba yupo dar nimwajiri mchumba awe na shughuli yoyote awe na watoto wasizidi 3 au asiwe na mtoto ni sawa umri miaka 30 mpaka 45 tafadhari pm upewe namba yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
E bwana eee, Baada ya kumPM mdada fulani ambaye vilivyonivutia kufanya hivyo ni jina, avatar na lugha/mawasiliano yake kadri tulivyokuwa tukiwasiliana, ambavyo vilikaa kimahaba, nikasema dah huyu...
9 Reactions
294 Replies
16K Views
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam Alikuwa mpenzi wangu enzi hizo tuko chuo Tulipomaliza chuo akapata kazi nzuri Baada ya miezi mitatu akanidump Niliumia sana...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Nani haswa anapaswa kutoa talaka kati ya mwanaume na mwanamke?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Zuwena ( sio jina lake halisi ), ni mwanamke wa kitanzania mwenye umri wa miaka 43. Kwa sasa mwanadada huyu anaishi na virusi vya ukimwi. Mwanadada huyu anabainisha namna...
1 Reactions
70 Replies
231K Views
nimekaa ndaniya huu mji wa mabomu wiki ya pili sasa naona nakaribia kupata depression kwani niko mpweke. kwa wadada waliopo Arusha anayehitaji mtu wa kupeana kampani tuwasiliane kwa PM! Mimi ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar wakuu!. Nimejitokeza kwenu kuomba ushauri! Nina rafki yangu ana mke lakn hawajapat mtoto bado na mm nina girl friend huyu mke wa rafki yang na girlfrnd wang n marafki sasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa safarini,wakati tuko kwenye gari nilibahatika kukaa siti moja na msichana mmoja nikampa namba ya cm aliponibeep nikampigia akanimbia ni mwanafunzi wa form three ila ki ukweli ni...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…