Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!! Nawakaribisha wadau kwenye mgongano wa Hoja, na mchango wako uongozwe na nguvu ya hoja juu ya hii mada! Sheria! Ni marfuku kumshambulia/kumjadili...
13 Reactions
116 Replies
11K Views
habari zenu... jamani wanawake muwe makini sana waume/wapenzi wenu wanapokwenda saluni kunyoa (barber shop). huko kuna wadada wamekaa kiwiziwizi sana, kuanzia nguo wanazovaa, mapozi yao, lugha...
2 Reactions
69 Replies
7K Views
Nina mke na watoto but natafuta marafiki ya kuchat na kubadilishana nao mawazo ktk maisha kupitia ukumbi huu wa JF.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Leo nilikua kwenye mkutano wa injili na sasa ivi naangalia Emmanuel Tv, nilichogundua ni, wanawake wengi ndo wenye matatizo na majini. Wanawake wameletwa na waume zao kuombewa. Wengine...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bweta La Uhalifu - Ndoa Hadaa? - Full Video - YouTube je tutafika?????
0 Reactions
0 Replies
6K Views
gggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggggg
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Najua kwa namna moja au nyingine tumewahi kuhonga na kuhongwa katika mapenzi! Ni kiasi gani kikubwa kabisa ulichowahi kumhonga mtu au kuhongwa? Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wenzetu wanasema upendo wa kweli huwa unadumu milele,kuna rafik yangu wa kike alifunga ndoa na jamaa fulani mwenye uwezo mzuri tu. Walikuwa na mpango wa kwenda fungate Kuala Lumpur,Malaysia,lakin...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sexing to married couples is more than "Scratch my back and I will scratch your back", and has something immeasurable and wonderful in it that sometime makes people cry,die and reveal hidden...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dada zangu inabidi tuambiane ukweli inapotokea ukaachana na boyfriend wako au mme huwa haupendi kabisa apate maendeleo utakuta matangazo mara mshamba sura mbaya hajui mapenzi ile hali mwanzo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mimi ni msichana wa miaka 25.miaka minne iliyopita nlikutana na kijana flani nkiwa chuo,tukatokea kupendana tukawa wapenzi.muda haukupita sana,huyo kijana akaanza nionesha his true colours akawa...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Habr za uck wapendwa wangu,upande wangu me mzma wa afya njema kabsa!!!!!! Imekuwa kama kautamadun vidume kuogopa kuombwa pesa na wapenz wao! me nashindwa kuelewa mantiki yako!! kwa mfano naomb...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
new member in dis forum
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgomo wa kodi ya simcard Umeanza Kote Nchini, ninawataarifu wapenzi wangu wote kuwa sitapatikana kuanzia sasa... nimezima laini zote za simu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau natumaini baadhi yenu mnafuatilia Reality Show ya Big Brother Africa (BBA) season 8 inayoendelea huko South Africa. Mshiriki mmojawapo toka Tanzania FEZA ameanza mahusiano na O'Neal kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.Utajua majina ya vifaa na procedure za kidaktari. 2. Ni watu smart. 3. Ni watu walii tayari kukesha na wewe kama unataka iwe hivyo. 4. Hutakaa foleni za kuonana na daktari hospitalini. 5...
2 Reactions
95 Replies
12K Views
nimekuta mesage ya namna hii (habari dear, mzima weye na watoto wangu. Nimekumisijeee) . Hiyo ni meseji nimeikuta kwa mume wangu je nimese au naibiwa
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Siri ya Furaha ya Familia Jinsi ya Kuanza Kuaminiana Tena Steve*: “Sikuwahi kuwazia kwamba Jodi angefanya uzinzi. Niliacha kumwamini kabisa. Siwezi kueleza jinsi ilivyokuwa vigumu kwangu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau, nawaletea story ya kweli.ni hivi, nlikuwa na rafiki yangu (naomba nisimtaje jina ila nitawapa majina bandia.) na mpenzi wake. Huyu rafiki yangu Juma na Asha,walikuwa wanapendna na wakiishi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mm ni kijana wa kiume wa miaka 27 ni mfanya biashara katika mikoa ya dodoma na morogoro. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mwanamke ambaye mwisho wa siku nifungenae pingu za maisha. Umri usiozidi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…