KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Leo nilikua kwenye mkutano wa injili na sasa ivi naangalia Emmanuel Tv, nilichogundua ni, wanawake wengi ndo wenye matatizo na majini.
Wanawake wameletwa na waume zao kuombewa.
Wengine wanashuhudia kuwaoa wanawake wenzao, mawifi kuzuia mimba nk
Kwanini inakua ivi?
Wanawake wameletwa na waume zao kuombewa.
Wengine wanashuhudia kuwaoa wanawake wenzao, mawifi kuzuia mimba nk
Kwanini inakua ivi?