queeny
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 584
- 421
habari zenu...
jamani wanawake muwe makini sana waume/wapenzi wenu wanapokwenda saluni kunyoa (barber shop). huko kuna wadada wamekaa kiwiziwizi sana, kuanzia nguo wanazovaa, mapozi yao, lugha, etc. tena wanaume wakiingizwa huko chamber kufanyiwa sijui massage, facial, scrub, etc. kuna mambo mengine yanayoendelea huko zaidi ya niliyoyataja.
na nyie wanaume mkienda saluni muwe ngangari sio mkifanyiwa massage kidogo na kusuguliwa kidevu basi mnaishiwa kabisa. muwe strong jamani....
ni hayo tu.
usiku mwema kwa wote.