Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."...
8 Reactions
33 Replies
6K Views
jamani naombeni ushauri coz mwenzenu sipend kabisa kutumia condom kwa mademu zangu.
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Hebu tuwe wawazi wana jamvi wenzangu. Je kuna tabia gani au kasoro yoyote aliyonayo mwenzio wa ndoa uliyenae ambayo kama ungegundua kabla hamjaoana basi usingekubali kufunga pingu na kwa sasa...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
kuna dada alinitext kwenye fb kua anaomba email yangu tuwasiliane anamatatizo,yeye ni mkimbizi toka sudan ila yupo kambi yawakimbizi senegal,anasema yeye alikua mtoto wa waziri sudan kabla baba...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema...
0 Reactions
138 Replies
11K Views
The New Rules for Love, Sex & Dating - The Right Person MythWhen I meet the right person, everything will be all right. This way of thinking creates trouble in our dating lives and sets us up for...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Mimi na mpenzi wangu tumeanza mahusiano miezi 5 iliyopita ila namjua kwa takribani miaka 4 sasa.Lakini huyu mtu wamgu huyu hataki kugegedwa kabisaa, na mimi huko nyuma nilikua na wapenzi na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Mapenzi ya kweli sio tu kwenu tu...ni kwa wote.. Angalia Video Jamaa karudi nyumbani baada ya kupotea miezi sita..Yaani rafiki yake amemmic ile mbaya.. http://youtu.be/JC5DXGIC8s8
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona kama watu wengi wanaona ni jambo la kawaida,hata ikisikika mtu katembea na binamu haishtui watu, je kimaadili hasa ni sahihi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binamu? Nini hasa kinaonyesha...
0 Reactions
29 Replies
12K Views
nimekuwa mpoleee, wa baridiiiii
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wanaume ni watu makini sana kujiuliza their feelings. Kuna njia nyingi sana kwa wanawake kudestroys these feelings bila kufahamu kama wanafanya hivyo. Baadhi ya vitu wanawake wanavyo fanya ku...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
^^ Sote tunafahamu umuhimu wa kitanda cha chumbani katika kuleta furaha ya mapenzi kati ya wapenzi wawili wa jinsia tofauti..Lakini pengine ni wachache wanafahamu kuwepo kwa uhusiano kati ya...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
HOME | SEARCH | FAQ | AFFILIATION | NEWS | INTERVIEWS | HISTORY | THEORY/PRACTICE | SOURCES | EMPORIUM | LINKS | EMAIL Magus Anton Szandor LaVey (1930-1997), Founder Magus...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwaka 1993, bendi ya muziki wa Dansi ya VIJANA ORCHESTRA wana SAGA RHUMBA ikiongozwa na MUHINA PANDUKA a.k.a TOTO TUNDU, walitoa albamu yao ( sikumbuki jina la albamu)...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanamke mwenye sura kama hii huwa hupendwa sana na wanaume walio wengi Mwanamke wa dizaini hii mda mwingi huonyesha tabasamu Mwanamke mwenye sura kama hii huwa na umbile zuri Mwanamke mwenye...
2 Reactions
67 Replies
15K Views
Habari wana MMU, Siku hizi nahisi hii nanilihii..... yangu inaishiwa nguvu kabisa,idadi nimepunguza kutoka 5 per night hadi 3 kiasi kwamba hata mke wangu ananifikiria vibaya labda kuna mahali...
3 Reactions
154 Replies
26K Views
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jukwaani naingia,mimi naja ulizia, Moyoni kaniingia,kijana nisomjua, Mara nyingi nawazia,mtimani kaingia, Jamani yawezekana,Kumpenda somjua? Si sauti wala sura,machoni sijamtia, Nimekuja kwa...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Hivi ni kweli mvulana asipofanya mapenzi kwa muda mrefu anapata chunusi sehemu mbalimbali za mwili wake?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau... Mimi hii picha inanikumbusha Chuo hata kama maisha/masomo magumu unakomaa tuu,ukikubali kukamatwa ujue unaliwa kichwa,hata ktk Mahusiano ukiumizwa komaa usimezwe nae...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…