Kuliko kupewa adhabu hii ni bora upigwe

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe.

Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi.

Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza

1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu

Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .
 
jujoka

Member
Aug 11, 2013
42
70
Kwa ninavyowajua wanaume wao kufumaniwa ni kawaida kwao lakini wenzi wao damu lazima imwagike.yaani. namshauri huyo dada afungashe virago kwani anasubiri kifo jamaa hapo anafikiri amuue vipi kikatili
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,110
2,000
its complicated. hata namna huyo mwizi alivyokimbia tu pia ni complicated au alipotea kimiujiza?
 
albani

Member
May 29, 2012
24
20
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe. Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi. Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza
1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu
Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .
Wapoti, ni vizuri kujua kama huo mwezi ambao jamaa amekuwa haulizi kitu na kuendelea kuishi kwa kucheka na kuleta zawadi, je tendo la ndoa wameshiriki? Tukijua hilo, tunaweza kujaribu kumshauri huyo dada la kufanya
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
Wapoti, ni vizuri kujua kama huo mwezi ambao jamaa amekuwa haulizi kitu na kuendelea kuishi kwa kucheka na kuleta zawadi, je tendo la ndoa wameshiriki? Tukijua hilo, tunaweza kujaribu kumshauri huyo dada la kufanya

Kwa kweli hawashiriki hata kidogo na huyu dada ss amajiandaa kutoroka kurudi kwao anadai hana amani adhabu ni kubwa bora ampige kipigo cha mmbwa koko yaishe
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,420
2,000
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe. Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi. Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza
1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu
Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .mbona wake zetu wakitufumania hawatupigi wala kutupa adhabu wanalia, wanatusamehe! iweje mwanaume akifanya hivyo iwe tatizo?
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,447
2,000
labda nae huwa anapiga nje na anajua mkewe anajua hilo
mke akijua unamsalitu wengi wao husaliti pia.
 
ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
8,117
2,000
Hiyo ni bonge la adhabu, mwisho bidada ataondoka mwenyewe hapo nyumbani
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,711
2,000
Jamani hiki ni kisa nilichoshuhudia mwenyewe. Dada mmoja alifumaniwa live na mume wake akingonoka na mwanaume mwingine ndani ya nyumba yao.kwa bahati mbaya yule mwanaume alifanikiwa kutoroka kabla mwenye mali hajamtia mikononi. Cha ajabu mme wake hajamuuliza chochote mpaka leo. Akiondoka anamwachia matumizi kama kawaida pia akirudi anamletea matumuzi na zawadi kama ilivyokuwa awali.Ni mwezi umepita sasa na out kashamtoa mara tatu.hajamnunia anacheka nae kama kawaida. Sasa najiuliza
1. Je kunyamaza inamaana anampenda sana hataki kumuudhi
2. Au anamuandalia adhabu
Kwa kweli hali hii mwanadada kapunguza kilo zaidi ya kumi kakonda balaa .

unajuaje kama mwanaume na yeye alifumaniwa ikabidi afanye hivyo au labda hiyo ndio adhabu stahiki kwa mzinzi?
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,138
2,000
mbona wake zetu wakitufumania hawatupigi wala kutupa adhabu wanalia, wanatusamehe! iweje mwanaume akifanya hivyo iwe tatizo?

Ukiona unauliza swali hili na kweli linatoka moyoni, basi uanaume wako una walakini. Dume moja linaweza kupanda majike kumi na zaidi na kuyazalisha, lkn hakuna kitu kama jike moja kupandwa na madume mawili ndio lizae.....amsha kichwa wewe!

Ningemjua mkeo hata kama ni mbaya ningem'bandua ili nione jinsi unavyolia na kumsamehe...pimbi we!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom