Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,556
Nimeona leo si vibaya tukashare hili jambo ambalo ni kati ya mambo muhimu katika maisha ya wanadamu.
Nimesikia na kuona watu wanapanga idadi ya watoto na wengine wanawekeana ahadi kwamba tusipopata mtoto ndani ya muda fulani basi ndoa haipo tena,ni kweli mtoto ni matunda ya ndoa lakini ni nani alikwambia kuzaa ni lazima pia?kwanini tunasahau mtoto ni mipango ya Mungu tu sie kwetu ili si la kwetu? kwanini tusioane alafu watoto ikabaki baraka za mpaji?ya nini ukimbie ndoa yako kwa jambo kama hili?
tujadi