Ni kipi hasa kipimo cha upendo kwa mpenzi wako?
1.Anavyogngonoka na wewe kwenye 6x6 mpaka unahisi dah! dunia yote unayo wew kwa wakti ule,ki ukweli wengi wetu hiki ndio kipimo chetu kikubwa...
Hili jambo linanisumbua sana, hata mke wangu mara nyingi ananihusia kuwa niweke mambo ya familia yetu sawa haswa haswa mikataba ya mali ili eti siku nikiwa sipo (nikifa) wao (yeye na watoto)...
MMU nawasalimu jamani.
Mimi binafsi naumia sana kuona kijana mdogo akiangamia sababu ya mtu mmoja.
Kuna mama mmoja ambaye mme wake alifariki kwa HIV mkoani Arusha ambako ndiko anakoishi...
my name is nedson a finalist at DSM university studing engineering!
as my plan since earlier i intended to get married immediately as i graduate and to comply my plans a request any girl who iz...
Mchangiaji wa kike/Kiume: Tupe experience yako kwenye mambo ya 6x6, ni mambo gani usipofanyiwa na mume wako yanaweza kukutoa nje.
Baadae tutarudi kwenye uzi wa Lara 1.
Wasalaam
Carol.
Wakuu,my Ex girlfriend alifariki kwa ajali ya gari cku chache zlizopita huko jijin darslam,asa ndugu zake katika kupanga panga vitu vyake kwenye kabati,wakakutana na notebook ambayo huyo my ex...
Nimfanya ugunduzi nimegundua kumbe humu ndani kuna vita baridi kati ya wakiume na wakike na yote hii ilitokana na thread moja iliyotupiwa na wadad eti sisi vijana wakiume kuanzia miaka 20-35 hiv...
Ndugu zangu yapata miezi kama mi 3.5 hivi iliyopita nimeopoa bonge la mpenz. Mzuri ana mvuto wa nguvu na mkali kwenye kila idara hadi story zinapanda mwanzo mwisho. Financially independent e.t.c...
Malezi ya watoto katika karne ya leo ni kitu chenye changamoto kubwa mno pengine zaidi ya tunavyofikilia.Bina fsi nawashukuru wazazi wangu na yamii yangu kwa malezi na makuzi waliyonipatia wakati...
1.the greater the disparity in age the harder it may be for others to believe that there is true love 2.the young man may never experience the joy of fatherhood since he will be controlling like a...
Habari wana janvi?
Natumai muwazima wa Afya
Siku ya jana ni majanga week end yangu imechafua akili yangu.
Jana nilipata kodi ya kuenda mtende kuwapeleka vijana ktk day out kwa kweli kulikua...
Hello Ladies
Wow its another beautiful saturday....lolz
Serious kama kuna manzi yupo hapa Dar just check me and i will pay u a visit.....but under one condition.....we just meet and...
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa naye kwenye mahusiano takriban miezi sita sasa, nimesafiri kikazi nje ya mkoa tulipokuwa tunaishi ingawa yeye alikuwa anakaa kwa wazazi wake huku mimi...
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo...
Jana Jioni tumekutana Wallet Pub - Tabata na rafiki yangu wa siku nyingi sana, ana mke na watoto watatu tayari, nilipomuuliza mbona anakunywa sana siku za hivi karibuni badala ya kunijibu...
Serial rapist who posed as gay Vogue photographer to befriend women in upmarket bars is jailed for life
Fabio Moniz posed as a gay fashion photographer to prey on women in top London bars and...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 44 natafuta mwenza, mwenye mapenzi ya kweli nina mtoto moja wa kike.Napenda mwanaume mwenye kujishugulisha iwe biashara au kuajiriwa, kama ana watoto wasizidi 2, kwa...
Amani iwe kwenu wanaJamvi
I hope mko fine walio wagonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya nk Mungu awajaze uvumilivu na awaponye.
Siku hizi kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ndoa zetu kwa...