Namna ya kupata mke au mume mwema

Namna ya kupata mke au mume mwema

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
150
Reaction score
93
Amani iwe kwenu wanaJamvi
I hope mko fine walio wagonjwa na matatizo mbalimbali ya kiafya nk Mungu awajaze uvumilivu na awaponye.
Siku hizi kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ndoa zetu kwa ndugu jamaa marafiki wazazi nk.
haya yote inategemea namna ulivyowaza maisha yako ya ndoa kabla ya kuwa na mwenza, ulivyompata, matarajio nk na ikawa sivyo ulivyotaraji.
Uchumba wa muda mrefu si kigezo cha kuwa mke/mume bora, kufahamiana sana na familia, figa ya mtu so bufy or handsme, elimu au pesa nk
Mke/ mume unampata kadiri ya matarajio yako wewe ndiyo ambayo unavutiwa naye.
Lakini mwisho wa yote Mke/Mume mwema anapatikana kwa maombi kwa yule anayetegemewa na kila mtu sirini au hadharani kati ya hao ukiona havielleweki usilazimishe kwa ajili ya status yake utaumia na dunia itaangamia.
weekend njema.
 
Back
Top Bottom