Baada ya kuwa mtazamaji wa jamvi hili kwa kipindi kirefu, leo nimeamua kuvaa jezi namba 6 mgongoni na kushuka dimbani. Kiukweli nimekuwa nikielimika katika mambo mengi yahusuyo mahusiano katika...
Jirani yangu mcha Mungu, Mpole, Mpenda familia kachanganyikiwa ajui la kufanya. Tayari ana watoto wawili alio zaa na mke wake.
Leo asubuhi nimeamka mapema nipo njee nimetoka kufanya mazoezi...
Limenitokea la kunitokea, hapa nilipo ni kama nimewekewa drip ya konyagi! Dah, huu mkasa kwa sasa siwezi kuusimulia mpaka nikifanyie kichwa maintenance.
Nilidhani lara 1 anaongea maneno tu...
Wanawake wenye kiwango kikubwa cha vichocheo (homoni) aina ya oestradiol, wana mwamko mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa kuliko wanawake wenzao wenye kiwango kidogo cha vichocheo hivyo.
Ni...
Leo nina machache ndugu zangu, issue yangu ni social-technical. Natanguliza samahani kwa kuwachosha na mambo binafsi!
Kuna rafiki yangu fulani wa kike, yupo mbali sana na upeo wa macho yangu, ila...
Kwenu wanajamii forum, kwa mara ya kwanza najitokeza kutoa post hapa jukwaani.....Nikihitaji ushauri wa kisayansi kuhusu maumbile yangu. Natumai kuwa wapo wataalamu mbalimbali hapa.......
Nina...
Kwanza naomba niweke wazi kwamba natumia kasimu ka mchini,so mambo ya paragraphs msiyajali sana...crucial man mamsup mtarajiwa kanichanganya naamua kwenda kupata mbili tatu baridi joint fulani...
Kuna kila sababu ya kulitizama hili kwa undani kwani wengi wetu wanapomaliza likizo ya mzazi "materninty leave" kinachobakia ni kupiga simu kumjulia mtoto hali amekula/anakohoa tena/ameoga/dawa...
Leo hiyo pale bodi ya mikopo ya elimu ya juu
--Unamuuliza vp mumyii.. anakuambia nimekosa mkopho, dah! yani Serekali angalieni watoto na dad zetu wazuri huko mbele watenda haribika
--Manaake...
ndugu wanajf jana yamenipata kile kilio cha wengi Usaliti, nina mchumba ambaye nimedumu naye kwa miaka 4 sasa,jana mida kama saa 8 mchana ivi nilimpigia simu aje mahala ili tuongee kidogo,
Kweli...
Wadau,kuna dada mmoja nilizaa naye mtoto mmoja,tukaseparate,yeye akaolewa na jamaa mwingine na yupo kwenye ndoa bado,cha ajabu huyu dada eti ananitaka nimpe mimba azae mtoto mwingine na mm,hapo vp...
Mimi ni dada(mama) nipo kwenye ndoa yapata mwaka sasa,na nina mtoto wa mwaka,tatizo langu kwa kweli sina hamu kabisaaa ya tendo la ndoa,yaan mume wangu akkihitaji yaani naona kama sijui mzigo...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.... (copy from lala 1)
nawasalimu wana jamvi.., hop mko poa na mnaendelea na kazi, japo wengine hang-over zinasumbua lakin inshallah jion itafika tu.
ni...
Nimechoka kutibia magonjwa ya zinaa ambayo nimekuwa nikiambukizwa na wanawake wenzangu! Nimechoka kupoteza hela zangu ! Nimechoka kumkufuru Mungu nimechoka kuishi maisha ya...
Tumeoana miaka 10 iliyopita wote tukikutana UDSM tukiwa active members of Christian fellowship. Tulihakikisha hatufanyi makosa ya kuwa na ndoa isiyodumu na hivyo tukawa tunasoma vitabu vingi...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Anyway nilikuwa na peruz na kudadisi mablog mbali mbali nikakutana na Bi mkubwa Oprah akifunguka juu ya ku consider marriage baada...
Habari wakuu,
Kwa nitakaemkera ajitafakari na kisha ajisahihishe.
Hivi katika hali ya kawaida nani anaeweza kupinga ukweli kwamba kucha ndefu za vidole vya mkononi zinahifadhi uchafu mbalimbali...
habari zenu wanajamii forum napenda kuwashukru woote wanaochangia maada mbalimbali katika page hii
baada ya hayo naomba nieleze ya moyoni kwa mi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 natafuta...