Barua Yako Nimekwishaipata Sheri

Barua Yako Nimekwishaipata Sheri

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Limenitokea la kunitokea, hapa nilipo ni kama nimewekewa drip ya konyagi! Dah, huu mkasa kwa sasa siwezi kuusimulia mpaka nikifanyie kichwa maintenance.

Nilidhani lara 1 anaongea maneno tu, lakini kumbe! Mkasa umeninyanyasa utadhani nimelipuliwa na mabomu ya Benghazi. Nitarudi, chanzo cha mkasa ni huu wimbo:

Barua yako nimekwishaipata Sheri,

nia yako tupendane wawili oh,

sikatai lakini kitu kimoja oh,

naogopa eeh naogopa oh!

Wanaokupenda watanipa tabu mimi,

................................................

Siwezi kumalizia kuandika, endelea kusikiliza hapa: LES WANYIKA BARUA YAKO - YouTube
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa.....au nami nimewekewa drip ya dompo....
ntarudi kesho ngoja nilale kwanza....
 
Back
Top Bottom