Sijui ni kisomo au utandawazi siku hizi watu tumekuwa wavivu sana wa kazi za mikono. Mtu anaona bora atoe hela afanyiwe kazi ndogo kama kupiga rangi viatu kuliko kufanya mwenyewe. Mimi...
Wakuu. Hapa tulikuwa tunapata hadithi mbalimbali kutoka kwa mjeda na wenzake. Mbona siku hizi kimya. Where is mjeda? Where is mzizi mkavu? Na wale wengine mko wapi? Yale masimulizi ya tanga kule...
mi Steve najitokeza kwa mara nyingine natafuta msichana mweupe halisi, mwenye bikra, umri miaka 19 hadi 23 mkatoliki, aliyehitimu chuo au ameajiriwa, msukuma, mrefu wastani. Sifa zangu mweupe...
Kwa kweli vijana tupo hatarini kuna jama yangu ana pharmacy ya dawa za binadamu mitaa ya mwenge lakini cha kusikitisha kama siyo faida kwake ni kuwa biashara kubwa inayotoka ni dawa za kuongeza...
Ilikuwa kati kati ya wiki nilipata msiba wa ndugu yangu mmoja 'bahati nzuri' alikuwa amefariki nje ya Dar na kuzikwa huko huko
so kikubwa kilikuwa ni kwenda nyumbani kwake na kutoa pole na...
Wakuu nipo kwenye hiace ya naenda mikanjuni -tanga,nipo na wazee wa makamo wanasema eti baba akiwa mkali kwenye familia hata watoto wanakuwa waangalifu sana kwenye mambo yao yote hata ya kielimu...
Habari zenu wana MMU natumaini mu wazima wa afya tele.!
kama mada inavyojieleza system hii imepamba moto sana hasa kwa wachumba wengi au wapenzi wengi hasa hasa wanaume wamekua wakiwapachika...
Kweli mwanaume mateso!! Baba na Mama mnafanya kazi sehemu tofauti ila muda wa kutoka unafanana, Baba akitoka kazini mara nyingi hukutana na marafiki zake kwenye vikao flani flani au dili zake...
Baadhi yake ni kama ifuatavyo
+
Mwanamke ni kama ardhi kila mmoja anaweza kukaa (Zaire)
+
Wanawake walioolewa ni kama pembe za tembo usiwaguse (Ethiopia)
+
Mke ni ua katika bustani Mume ni...
Kumekuwa na propaganda za kuhalalisha mapenzi ya pesa kama heading inavyojieleza,ukweli ni kuwa tangu enzi na enzi pesa haijawahi kuwa msingi wa mapenzi na wala haitakuja kuwa.Msingi wa mapenzi ni...
Habari wandugu na wajamaa..Leo nataka kuzungumzia janga lililo mbele ya waschana au wanawake ambao hujitambua kuwa wao wazuri basi unatakiwa kuwa na maisha mazuri kulinga na jinsi ulivyo. Hii...
Hebu angalia hizo picha hapo kwa umakini sana halafu uniambie kuna ukweli wowote katika maana zilizotolewa kwenye hizo aina za ulalaji wa mtu na mpenzi wake!??
Niambie WEWE na YEYE mnahusika...
Mshua aliyeyuka gafla baada ya kumdaka live bila chenga akitoka na kaunder 25 gesti wakati nami napata kasupu hapa mjini. Kawa mpole mbaya ila imenikera. Sijui nikamwabie maza au nimkomalie...
HABARI WANAJF.
IVI UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA UKIWA NA HAYA MAGONJWA?.
MFANO.
1.PUMU.
2.UGONJWA WA MOYO (ameshafanyiwa heart operation).
3.TB.
4.CANCEL.
5.SHINIKIZO LA DAMU.
6.MWEZI MCHANGA...
01. If a man steals your wife,there is no better revenge than to let him keep her-LEE MAJOR.
02. After marriage,husband and wife become two sides of a coin,they just cant face each other,but stil...
Habari,
Mimi nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa na tuna watoto wa 2. Nlimuoa mwanamke aliyekuwa kamaliza degree ambaye alikuwa home tu at the time anatafuta ajira.
Toka nimuoe hajawahi...
Guys niko Arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi Mwanza. Kama vipi tuonane niko Mount Meru Hotel.
kama uko Arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane