Inaweza kutokea?

Inaweza kutokea?

G3T

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2013
Posts
816
Reaction score
400
HABARI WANAJF.

IVI UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA UKIWA NA HAYA MAGONJWA?.

MFANO.

1.PUMU.
2.UGONJWA WA MOYO (ameshafanyiwa heart operation).
3.TB.
4.CANCEL.
5.SHINIKIZO LA DAMU.
6.MWEZI MCHANGA.
7.SICKLE CELL.
8.UGUMBA.

ETC.

Usimkimbie Mpenzi wako kisa anakasoro mwilini mwake.
 
^^
Unataka kusema nini hasa? Maana penzi la kweli halichagui labda yale yenu ya pesa kwanza..ugonjwa baadae
^^
 
HABARI WANAJF.

IVI UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA UKIWA NA HAYA MAGONJWA?.

MFANO.

1.PUMU.
2.UGONJWA WA MOYO (ameshafanyiwa heart operation).
3.TB.
4.CANCEL.
5.SHINIKIZO LA DAMU.
6.MWEZI MCHANGA.
7.SICKLE CELL.
8.UGUMBA.

ETC.

Usimkimbie Mpenzi wako kisa anakasoro mwilini mwake.

Huu ugonjwa wa CANCEL hatari sana...hata kwenye computer huwa upo, yaani ukibonyeza tu mahali palipoandikwa hivyo basi kila kitu kinapotea hapo hapo!!!
 
hahahaha watu8 umeua. Mbona kama swali alilouliza umejijibu mwishoni?
 
Last edited by a moderator:
watu8, huo ugonjwa ni hatari sana kwa kweli, kwa watu sasa unabofya nini ili au utoweke au utoe madhara yake?????????
 
Last edited by a moderator:
Huu ugonjwa wa CANCEL hatari sana...hata kwenye computer huwa upo, yaani ukibonyeza tu mahali palipoandikwa hivyo basi kila kitu kinapotea hapo hapo!!!

watu8, mbona na kwenye cm pia nimeona hivyo hivyo CANCEL, umenichekesha sana
 
Hahaha mimi huwa nauona kwenye kompyuta tu...kwa watu labda ndugu mleta mada atuelezee.
 
Last edited by a moderator:
watu8, mbona na kwenye cm pia nimeona hivyo hivyo CANCEL, umenichekesha sana

kumbe eenh...mwenzako huwa natumia redio koli zile za mapolisi...sijawahi kutumia simu
 
Huu ugonjwa wa CANCEL hatari sana...hata kwenye computer huwa upo, yaani ukibonyeza tu mahali palipoandikwa hivyo basi kila kitu kinapotea hapo hapo!!!

Huu ugonjwa ni hatari aise huwezi kuoa ukiwa nao kwasababu hauna dawa,
 
HABARI WANAJF.

IVI UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA UKIWA NA HAYA MAGONJWA?.

MFANO.

1.PUMU.
2.UGONJWA WA MOYO (ameshafanyiwa heart operation).
3.TB.
4.CANCEL.
5.SHINIKIZO LA DAMU.
6.MWEZI MCHANGA.
7.SICKLE CELL.
8.UGUMBA.

ETC.

Usimkimbie Mpenzi wako kisa anakasoro mwilini mwake.

Huyu mtoa mada atakuwa kavurugwa kaanza na swali "IVI UNAWEZA..." halafu kamaliza na jibu "usimkimbie mpenzi wako..."
labda nikusaidia mm nimeoa chizi!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom