JF wa Arusha

JF wa Arusha

miss wa kinyaru

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2012
Posts
542
Reaction score
356
Guys niko Arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi Mwanza. Kama vipi tuonane niko Mount Meru Hotel.
kama uko Arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane
 
Watu wa arusha wana umoja sana........I hope utapata tu members huko

kuna shemeji yangu Arushaone yupo huko pia
 
Last edited by a moderator:
Guys niko Arusha tangu jana, nitaondoka kesho saa 5 asubuhi kurudi Mwanza. Kama vipi tuonane niko Mount Meru Hotel.
kama uko Arusha na unaweza kuonana na mimi tuwasiliane

Ni ubize tu ulinikosesha kuingia humu JF tangu jana ila I hope uli-enjoy your stay.
 
Uzi wenyewe nimeuona leo, sasa hivi nadhani hata mgeni keshaondoka.
Usijali next time nitawajulisheni mapema, mara nyingi weekend ya mwisho wa kila mwezi huwa napenda kuja Arusha kupnguza stress za mwezi mzima. ila october naona kama ratiba imebana nadhani nitakuja november.
niliondoka na pression ya saa 4 niko Mwanza tayari.
 
Back
Top Bottom