Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

Lyandembela1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
277
Reaction score
113
Heshima mbele wakuu.

Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara ya mwisho alinambia mkewe ni mjamzito.

Na kwa sasa nipo hapa mjini ningependa kwenda kuwasabhahi.

Naomba kujua natakiwa kwenda na kitu gani mkononi kama zawadi kwa shemeji na mtoto?
mimi49 Ladyfuraha Mamndenyi Preta na wengine wote na ushauri na mawazo yenu.
 
Last edited by a moderator:
Toiz, nepi na Pipi!
Hizi kwa ajili ya mtoto!
...
Karanga mbichi, Halua na Pweza!
Na hivi vitawasaidia hao wanandoa!!
 
Hivi watanzania tutakuwa wajinga mpaka lin? Vitu kama hivi ni ubunifu tu haina haja ya kupewa mawazo
 
Heshima mbele wakuu.

Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara ya mwisho alinambia mkewe ni mjamzito.

Na kwa sasa nipo hapa mjini ningependa kwenda kuwasabhahi.

Naomba kujua natakiwa kwenda na kitu gani mkononi kama zawadi kwa shemeji na mtoto?
mimi49 Ladyfuraha Mamndenyi Preta na wengine wote na ushauri na mawazo yenu.
Mpendwa watoto wanahitaji nguo always kwasababu wanakua kwahio itakuwa vizuri ukinunua nguo ambazo size kidogo kubwa mfano mtoto kama wa miezi 6,unanunua nguo za size ya miezi 8!Toys pia sio bad idea!!
Mama unaweza kumpa posho mkononi au gift card unamjazia pesa then atanunua kile anachopendelea!
 
Mkuu kama vile unajichanganya changanya, ebu jisome vizuri

teh teh...kuna mahali kaandika kwa sasa yupo hapa jijini 'Dar'...hivyo hilo lisikutie shaka...
 
mi huwa nikienda kwa mzazi nampatia pesa....ili anunue anachotaka....unaweza ukanunua kitu....kumbe ndio katoka kukinunua jana........japo vyote vitatumika.....lakini ni bora pesa ili anunue vile vilivyomiss.........chukua card ya kumpongeza.....ndani weka noti........
 
Kwa kuwa hujawahi kuonana nao pia hujui wanaishi mazingira ya namna gani;
Kama una uwezo tenga 50,000/= au zaidi kama unayo, halafu nenda hadi hapo
home kwao ukawasalimie.

Baada ya mazungumzo unapotaka kuondoka wape hizo hela; wao wataamua
cha kufanya.

Bongo huwezi kuamua nini cha kumpa mtu kwa kuwa kila mtu ana mapenzi yake.

......... asante hata kwa kutambua uwepo wangu na kwamba naweza kuwa mmoja wa
watu wa kukushauri............ asante sana.
 
Wewe unafaa, siku mtarajiwa akijifungua, wewe utakuwa mwalikwa wa kwanza aisee

Back
Top Bottom