Natumaini wote muwazima kwa neema ya MUNGU wetu aliyeju. Kinachonifanya nije ktk jukwaa hili leo, ni kutaka kuwauliza wana JF wote waliooa na kuolewa. Waniambie leo km kweli inawezekana kuishi na...
Nimesikia mara nyingi sana, kuwa kuna wanaume huwachukua wanawake wawili au zaidi na kufanya nao mapenzi kwa wakati mmoja? Hivi huwa wanatafuta nini? Ina ladha gani? Mwanamke mmoja mwenye anatoa...
Habari zenu wazoefu humu.
Muda mrefu nilikuwa nasoma soma ushauri humu na nikajaribu sana kujiunga nikawa nashindwa, ila leo nashukuru nimefanikiwa naombeni mnishauri tatizo nalopitia
Mimi...
Mimi nimeoa, yapata mwaka sasa nimekuwa na mahusiano na mdada ambae alikuwa mke wa shemeji yangu ambae familia zetu zilikuwa karibu sana. Wote tunaishi hapa hapa dar. Kwa bahati mbaya rafiki/ndugu...
Poleni na mihangaiko ya sikunzima yaleo. Mwenzenu nahitaji kujifunza mambo kadhaa kutoka kwenu. Nimetokea kumpenda MSICHANA WA IRAQW ( mmbulu) ila ningependa nijue TABIA ZAO ZA kiasili
Habari wakubwa zangu... Sijui ugumu wa maisha au nini maana katika experience yangu nimegundua wanaume wanaotoka familia mambo safi hawapati shida kabisa kukamata warembo na ndio maana wengi ni...
Miaka mitano iliyopita nilikuwa na mahusiano na binti mmoja!katika utafutaji na hali ya maisha niliamua kwenda kujiendeleza kimasomo,sikumuaga ingawa baadae tuliendelea kuwasiliana kwa njia ya...
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya...
Nachukizwa na Tabia ya Mwanamke kujifanya anataka kufanya kazi akati mie kama Mumewe ndo natakiwa kumfanyia kila kitu tangu kula,kuvaa,kulala kwake ni Mimi yan nasema ivi,We soma level zote mi...
Mimi ni mwanamke mjasiliamali mwenye umri wa miaka 25. Ni mzaliwa wa Sumbawanga ila makazi yangu kwa sasa ni Dar. Sina mtoto na sijaolewa. Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya...
Napingana kabisa na lile tangazo linalohamasisha matumizi ya kondom kwamba kuonyesha upendo wako kwake basi tumia kondom!!!!!
Kondom ni kwa ajili ya wazinzi waasherati na wasio waaminifu kwenye...
Real story,story story...hadithi (hii stori ni ya kweli 100%)
Nina rafiki yangu ni msichana anaitwa masogange(not real name) ana ujauzito,sasa amekwama kiasi cha kufikia kuniambia ukweli nini...
Natumaini nyote humu ndani hamjambo
Kisa cha kuandika thread hii ni hiki kifuatacho. Nina rafiki yangu (mdada) ambaye ameachana na mpenzi wake hivi karibuni, uhusiano wao ulikuwa kama miaka...
Hii sasa ndo ishakuwa style ya watu kukamata attention za watu.Wapo wanaoweza kuandika stori ndefu na inavutia coz wana art ya uandishi wa hizo stori.Tatizo visa vyenyewe vya kutunga afu...
Mwanzoni mwa mwaka huu mpenzi ambaye nilimpenda kumuamini na kumthamini alinisaliti na kwenda kwa mtu mwingine ambaye ni mtoto wa pedeshee mmoja hapa mjini. Iliniuma sana mpaka ikapelekea...
Wanajamvi
Umofia kwenu.
Naombeni tuelimishane ni kwanini ukimchumbia msichana wakati wa send off na wakati wa Harusi badala ya kuwapa watu tabasamu furaha analia wakati alikubali mwenyewe na...
wapenzi wawili mpo njiani,mwanaume na mwanamke,ghafla anatokea mrembo mwingine mkali ile mbaya ama yupo peke yake ama nae yupo na boy wake,mwanaume wako anamkodolea jicho yule demu mpaka...