Q Quruxbadan JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 232 Reaction score 80 Oct 13, 2013 #2 Binadamu hawatochoka kuongea
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 13, 2013 #3 loading.....
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,460 Reaction score 987 Oct 14, 2013 #4 royna said: Click to expand... Hata maeneno pia
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Oct 15, 2013 #5 ^^ Adui mbaya ni wa ndani yako ^^
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,362 Reaction score 3,846 Oct 15, 2013 #6 katika hizo picha ww upo upande gani???
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Oct 15, 2013 #7 Lolote utakalofanya liwe zuri au baya watu hawatokosa la kusema!!Fanya kitu kwasababu roho yako inapenda na nafsi imeridhia!!
Lolote utakalofanya liwe zuri au baya watu hawatokosa la kusema!!Fanya kitu kwasababu roho yako inapenda na nafsi imeridhia!!
M mtimatawi Senior Member Joined Apr 28, 2013 Posts 112 Reaction score 38 Oct 16, 2013 #8 kitu kizuri nikile tukinacho furahisha nafsi yako , fanya kile unaona kinafaa na siyo wanacho taka watu wengine ufanye
kitu kizuri nikile tukinacho furahisha nafsi yako , fanya kile unaona kinafaa na siyo wanacho taka watu wengine ufanye
R royna JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 479 Reaction score 336 Oct 16, 2013 Thread starter #9 Godfrey Jackson said: katika hizo picha ww upo upande gani??? Click to expand... kwa wapanda punda au watoa maoni? kwa wapanda punda niko namba moja, kwa watoa hoja sipo popote!
Godfrey Jackson said: katika hizo picha ww upo upande gani??? Click to expand... kwa wapanda punda au watoa maoni? kwa wapanda punda niko namba moja, kwa watoa hoja sipo popote!