ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
utakuta mtu anaita lugha yake ya kuzaliwa za makabila, ati, 'kilugha', maana yake nini? afu sisi twajiita waafrika weusi mbona wengine hatuwaiti wazungu wekundu bali weupe kwanini tunaangalia rangi au kujidharau kwetu kama ni rangi kuna binadamu weupe kwa maana weupe?? kwanini tunalazimisha kingereza ikiwa sisi sio waingereza