Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
Mtu umekaa na dada yako au mwanamke unayemheshmu mnapga story,anakuja mtu anaanza ooh ninauza dawa za kuboost nguvu. Tena anamwambia sista eti mwambie jamaa anunue. Fikirieni bwana si kila ukiona jinsia tofauti zmekaa pa1 unadhani ni wapenzi.