LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,727 Reaction score 13,466 Mar 15, 2025 #1 Yaani kwa sasa ukiwa na hela mwanaume huongei sana wadada utaskia wapo single au wanamahusiano yanawasumbua hivyo wapo tayari kuanza na wewe,
Yaani kwa sasa ukiwa na hela mwanaume huongei sana wadada utaskia wapo single au wanamahusiano yanawasumbua hivyo wapo tayari kuanza na wewe,
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,758 Reaction score 197,428 Mar 16, 2025 #2 Ngoja waje kama wapo... Japo maisha siyo kutesa kila siku ila pesa ndiyo kila kitu... Cc: Mahondaw