Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nina mpenzi wangu kwa muda kama wa miezi mitatu hatukua pamoja coz kila mtu alkua mbali akishughulikia mambo yake but mawasiliano yalikua mazuri na hapakua na dalili yeyote ya kutengana lakini ni...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Naitwa humphrey richard toka dar es salaam. Natafuta mchumba ambae badae anawezakuja kuwa mchumba wangu dini wala kabila sichagui maana love doesn't ask why or how...umri kuanzia miaka 20-25 awe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta binti mwenye sifa za kuitwa mama baadae awe msomi kuanzia form IV na kwendelea na awe anajitambua awe mpenda dini kwa kweli na awe anajua kupika...mambo mengine yatafuata baadae ...awe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Whether your Married or Single... If you were in the following situations, would you have considered an abortion? 1. There's a man and wife who are very poor. They already have 14 kids. Now the...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
  • Closed
katika siku niliyoumia ni leo baada ya kutamkiwa maneno ya nyodo na huyu manzi mimi nampenda sana ila sema kuna jamaa mwenye pesa anamzuzua kiasi kwamba mie ambaye simpi hela ana niringia...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Enjoy the moment wakati una reminisce back in days friends, kama kawaida soul food!
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni kweli leo walio wengi wanawake kwa madada usononeka sana kuhusu kutosheka au kufikishwa kunako lakini pia ata kutamani kumpata wakumfanyia geni maungoni mwake ikiwemo chumvin pengine ata kama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana jamvi' Napiga hodi Jukwaani' Nina tatizo la kimapenzi la mda mrefu ambalo naamini humu JF ndo mahala naweza kupata ufumbuzi wa tatizo langu. Inahusu maisha yangu ya kimapenzi, Miaka minne...
1 Reactions
175 Replies
13K Views
wakati wa kuagwa mwili wa marehemu Dr. SENGONGO MVUNGI SHAYO nilijifunza kitu,walieleza kuwa darasa lake,walimaliza chuo udsm 1983 na walikuwa 60 na mpaka sasa baada ya miaka 30 bado wapo 48 na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
aisee sitokaa nisahau maisha yetu ya vijijini.. enzi hizo (nadhani hii system bado ipo kabisa!!), kuamka ni saa tisa usiku, unafungia ng'ombe kwa ajili ya kwenda kulima!! mwendo wake ni kama 5...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 26 na hitaji mchumba jinsia ya kike ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.nina degree moja. Nahitaji aliye siriaz na mahusiano yetu km haupo seriaz usipige wala kutuma sms...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
NAMNA YA KUOMBA- Hatua na vipengele muhimu katika kuomba - MKARIBISHE ROHO MTAKATIFU. *Rum 8:26-27 *Yoh 14:16-17 Yesu alisema Roho Mtakatifu ni msaidizi wetu. Atatusaidia na kutufundisha yote...
22 Reactions
40 Replies
9K Views
Basi bwana Nakumbuka vizuri july 16 mwaka 1998 mimi pamoja na ndugu wachache walionisindikiza kutoka mwamashimba wilaya ya kwimbwa mkoani mwanza hadi mwanza mjini... tayari kwa safari ya kuelekea...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa kiume natafuta marafiki wa kuchat jinsia zote namba yang ni 0717586384 karbu
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Rafiki yangu amebahatika kumpata mwenza wake wa maisha na ni mwaka wa tatu sasa tangu wapo kwenye ndoa.Tangu waoane na mwanamke huyu,furaha ya rafiki yangu imekuwa kubwa lakini yenye...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
The 7 Signs a Woman Wants to Be Approached 1. Saying “hi” right away. If you said “hi” to that woman at the coffee shop when you first saw her, and she didn’t say “hi” back, you’d have a good...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Inaonekana jamaa alijua kabisa kuwa atakufa siku chache zijazo, na huu ndio ujumbe wa kusikitisha kama sio kuhuzinisha aliouacha marehemu Gabriel Munisi mwenyeji wa Mwanza kabla ya kujipiga risasi...
2 Reactions
86 Replies
10K Views
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke...
7 Reactions
51 Replies
7K Views
Hata humu jukwaani mabinti wengi wanasema mwanaume mwenye pesa ndio kila kitu, kwa uchunguzi nilioufanya nikagundua kuwa mwanamke wa tabia hii akipata mwanaume mwenye pesa hawadumu, chukulia...
2 Reactions
77 Replies
13K Views
Jamani nimetoka kazini nipo hoi, nilikuwa busy sana leo. Sikupata hata nukta ya kupumzika. Nimefika home wife kaniudhi sana. Yaani nina hasira mpaka nimeshindwa kulala. Usingizi wote umeondoka...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…