Naamini mume anapatikana popote..basi nam natafuta mume ishaalah...

sikati tamaa

Member
Sep 12, 2012
21
10
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante
 
Biashara ni matangazo na kuuza ni kuuziana na kununuliana. all the best.
 
kila la khary
 
mi natafuta mchmba ila umri wngu ni siku 9466, pia ni mwanafunz wa chuo kikuu ila sina nyumba,gari,shamba wala sina mpango wa kununua TOYO siku za karibun
Nina upendo wa dhati, ni muislam mcha mngu sijawh kuwa na mchmba kabla ,niko tayari kupima na wala siko tayari kuvuna kabla ya msimu.
naomba uni pm niktumie no yangu kwa maongz zaid.nt kama sio mweupe usipotze mda.
 
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante
kama jina lako dada usikate tamaa, na MUNGU aiangazie taa nia yako iweze kufanikiwa, Inshalaah!
 
maelezo kama nilivyoainisha hapo juu ..ni pm ila kigzo cha weupe bdo kipo palepale.
 
Ina llaaha maasbirin. Hakika mwenye kusubiri yupo pamaja na allah. muuni wa kweli hatoi vigezo kama hivi muumim huwa anataka muumin sao rangi
 
Mie, na miaka 100/4, na ka elimu ka juu, sipo tayali kupima akiri. PM me pls
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante
 
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante
....'mawazo mgando ya mapenzi?'.,asa wataka olewa ukacheze mdako na huyo mumeo?
 
Wakubwa habari zenu na wadogo natumai wote hamjambo..mie ni bint wa miaka 24 na pia ningali mwanafunz wa chuo kikuu...nadhan imefka age ya mimi kua na familia ya kuitazama na kuihudumia kama mke na kama mama kwa ujumla...nahtaj mwenza wa kutulia nae kmaisha ambae atakua tayar pendo kulipokea kwa mikono miwili bila hiyana..napenda mwanaume msikiv,mchesh,mwenye heshma zake,anaejielewa kua amekua na anafanya nini,mpenda maendeleo,na mwenye kujua maana ya kuoa...ntafurah akiwa muslim...nipo tayar kulea mtoto kama ulishawai kuzaa kwa moyo na upendo wangu wote..mimi cjawah olewa,kuzaa wala kutoa mimba na uwe tayar kupma HIV/AIDS...na kama unamawazo mgando ya mapenz wala ucjsumbue mana ntakudharau na akil zako mgando znazowaza zinaa...Asante

unamaanisha hatapewa hadi ndoa au mi sijaelewa!!!!!!
 
Ina llaaha maasbirin. Hakika mwenye kusubiri yupo pamaja na allah. muuni wa kweli hatoi vigezo kama hivi muumim huwa anataka muumin sao rangi

ALLAH Akuzidishie kheri Inshaallah.dada yetu hajatoa vigezo vigumu kaifuata dini na mafundisho ya mtume.ALLAH amtizie haja yake na ampate situ muslim jina bali ampe mchamungu INSHAALLAH
 
Back
Top Bottom