NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE (girlfriend)

NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE (girlfriend)

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
32
Mimi ni kijana wa miaka 26 na hitaji mchumba jinsia ya kike ambaye badae atakuja kuwa mke wangu.nina degree moja.
Nahitaji aliye siriaz na mahusiano yetu km haupo seriaz usipige wala kutuma sms kwan hazito jibiwa.mtu ninaye mtafuta awe na elimu kuanzia fomu six na kuendelea.tuma sms 0685510963:
 
Huna lolote Fataki mkubwa wewe! Unatafuta mbunye ya bure tu, hivi hapo ulipo, kwenu, ulikosoma (O-Level, A-Level & Chuo), kazini kwako, uraiani, mtaani kwenu, kanisani/msikitini, etc) hujawaona? What nonsense!
 
kwa hiyo wale dada zangu wa la 7 B baada ya kuchezea vidude vyao weee sasa huwataki tena
 
Sasa mkuu ugomvi wote wa nini?
Wenyewe watakaompa hiyo mbunye ukute washampigia simu siku nyiiingi..
Nimeupenda ubunifu wake..unajifanya ndoa..ndoa...kumbe!

Huna lolote Fataki mkubwa wewe! Unatafuta mbunye ya bure tu, hivi hapo ulipo, kwenu, ulikosoma (O-Level, A-Level & Chuo), kazini kwako, uraiani, mtaani kwenu, kanisani/msikitini, etc) hujawaona? What nonsense!
 
Mkuu punguza munkaro kidogo!

Kuna wengine KWAO WANAONA ''BORA ZIMWI LISILOKUJUA KULIKO LIKUJUALO, NA AHERI ZIMWI USILOLIJUA KULIKO ULIJUALO''

Huna lolote Fataki mkubwa wewe! Unatafuta mbunye ya bure tu, hivi hapo ulipo, kwenu, ulikosoma (O-Level, A-Level & Chuo), kazini kwako, uraiani, mtaani kwenu, kanisani/msikitini, etc) hujawaona? What nonsense!
 
Lol..

Sasa mchumba wa kike si ndio fiancee? Naona kama umemvusha madaraja ghafla wakati hata hujamwona bado.
 
Mkuu huu mtego wa ndoa umewajutisha wengi sana. We mtu anatangaza ndoa siku ya kwanza, hata ajira unasubiri majibu ya interview bhana.

Sasa mkuu ugomvi wote wa nini?
Wenyewe watakaompa hiyo mbunye ukute washampigia simu siku nyiiingi..
Nimeupenda ubunifu wake..unajifanya ndoa..ndoa...kumbe!
 
huyo siriaz sijui kama yupo? kama wewe haupo serios.......
 
Huna lolote Fataki mkubwa wewe! Unatafuta mbunye ya bure tu, hivi hapo ulipo, kwenu, ulikosoma (O-Level, A-Level & Chuo), kazini kwako, uraiani, mtaani kwenu, kanisani/msikitini, etc) hujawaona? What nonsense!

Mmhh!!! mzee usitafute tena mchumba kwenye mtandao maana majibu haya ni kama vile tayari umeshampata
 
Mchumba wa KIKE? Kumbe zama hizi lazima mtafutaji uwe "specific" maana unaweza kupata "Mchumba wa KIUME"...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom