Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puri au punyeto sounds manly) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake tufanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable”...
3 Reactions
251 Replies
61K Views
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Mkaka full handsome ila ubahili zaidi ya Bodi ya Mikopo.
8 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari za humu JF KAZI IENDELEE! Kiukweli mie sio muandikaji mzuri au mtu wa kuelezea jambo kwa urefu sana tena ki ustadi ila acha tu niandike mtajua namna ya kunielewa. Nina miezi 6 toka mke...
23 Reactions
127 Replies
13K Views
kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi...
10 Reactions
146 Replies
10K Views
Eti nauliza mtu akitaka kujua kuwa huyu mume nilie naye ananipenda first of all nini kinamfanya mtu adhibitishe kuwa anapendwa. Kwa maana leo badala ya mume wangu kunipeleka hospitalini ananipa...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Wanajamvi, habari zenu. Naomba niende kwenye mada. Nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye nilikutana naye kwa mara ya kwanza mwezi wa tisa mwaka jana nikiwa katika mizunguko yangu ya...
16 Reactions
54 Replies
2K Views
Ukipita vijijini ndani ndani mikoani kuna wanawake wazuri sana. Ila shida ya miji au jiji wengi kujisumbua kutafuta mwanamke ni wavivu ndio maana wengi uwangusha vilio wanapofika nao mijini...
2 Reactions
10 Replies
768 Views
Habari wa JF. Mwezi wa tatu unakimbia kwa kasi sana. Hivi ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu usiyempenda kabisa tena kwa muda mrefu. Au hata kuingia naye kwenye ndoa. Binafsi ishanitokea...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Umri kwenye 20s ulikuwa wa majanga sana kwenye suala zima la mapenzi. Ni umri ambao nilikutana na maumivu makali kutoka kwa baadhi ya wasichana wa umri wangu. "Wewe sio type yangu", "Sikutaki"...
2 Reactions
9 Replies
510 Views
Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Mlifanya hizo harusi zenu mkiwa na miaka mingapi??
2 Reactions
6 Replies
405 Views
Hii hali imenikuta wikiendi hii, kuna mchepuko wangu mmoja ni mtumishi wizara moja hapa dodoma nikaona si vibaya wikiendi tutoke nae baada ya kula na kunywa tukaamua tukapumzike. Kama kawaida...
21 Reactions
235 Replies
31K Views
Wakubwa pole kwa uchovu wa mihangaiko, Twende moja kwa moja kwenye mada kuu tajwa hapo juu kumekuwa na kasumba ya watu waliozaliwa na jinsia ya kiume au Me kubadilisha mionekano yao na kujifanya...
2 Reactions
8 Replies
895 Views
Wale wazee ambao tuliwahi kugegeda bikira. Changamoto gani zilikupata maana hawa mabinti wanakuwa kama kambale ni kuponyoka tu. Ushatoa ngapi? Mwisho lini? Je, unatamani kutoa tena au hutamani...
11 Reactions
364 Replies
55K Views
Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini...
6 Reactions
167 Replies
12K Views
Sasa hivi kumezuka mtindo wa wanawake kutugeuzageuza Kama tunachomwa sisi ni chapati. Mahitaji yao ya kuridhishwa kingono na kimaslahi yanaongezeka na kubadilika kila kukicha. Zamani MAPENZI tu...
48 Reactions
108 Replies
13K Views
Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
My Heart Beats for You, My Charming Tumbili 🌟 Dearest Tumbili wa Mjini, From the moment your mischievous smile lit up the chaos of this city, my world has never been the same. You swing into...
14 Reactions
216 Replies
8K Views
Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
12 Reactions
227 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…