Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekaa kwenye hii nyumba tangu 2010, nilipohamia hapa haka kabinti kalikuwa ni kadogo mno, sasa kako sekondari form 1. Jana jumapili sikutoka ndipo kakaingia ndani, jumamosi nilikuwa nimejilipua...
16 Reactions
93 Replies
51K Views
WANAWAKE WENGI WANAOFANIKIWA KUPATA NDOA NI WALE WANAOKABIA JUU Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna Mbinu mbili za kupambana. Kuna wale wanaotumia Mbinu ya KUPAKI BASI na MBINU YA KUKABIA...
27 Reactions
130 Replies
5K Views
Wakuu NO REFORM........NO......👂 Binafsi Sina muda wa kubembeleza mwanamke au mshikaji ukizingua nikakutema ujue ndo imetoka hiyo hasta salamu sihitaji kabisa Hasa wanawake nikimtongoza akazingua...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Wamasai huchomeka mkuki mlangoni mwa nyumba ya yeyote yule na kuduu na mke mtu yeyote aliyemo ndani.Wao mwanamke ni mali ya jumuiya na hutumika na wote. Taratibu ni: 1.boy/dume la kimasai...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online: -Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall -Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela -Mtu...
2 Reactions
8 Replies
459 Views
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa. Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo...
1 Reactions
4 Replies
819 Views
UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio...
4 Reactions
10 Replies
618 Views
Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Wasalamu wakuu! Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza...
34 Reactions
168 Replies
23K Views
Kila tunapopewa tumepwaya. Sisi kuongoza si mpango wa Mungu jamani. Kina mama tumekuwa mashetani kuanzia ngazi ya chumba, nyumba, mtaa, shina, kata, tarafa, wilaya, mkoa hadi taifa. Wanaume...
22 Reactions
60 Replies
4K Views
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili. Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa. Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama...
65 Reactions
479 Replies
33K Views
Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria. yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao...
15 Reactions
90 Replies
3K Views
Ugonile, kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa. Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
1.Ana umri miaka 36 2.mwislamu 3.Yupo Dar ni injinia 4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa 5.Awe na umri 25-35 6.Ajue kiingereza Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
......just incase you were asked to, taking into considerations kwamba the kitchen parties and all that are all polluted,POLLUTED INDEED!...yes,polluted,because even the bride's family did...
0 Reactions
189 Replies
12K Views
Unajua watanzania Katika uhalisia watanzania tuliomba tume huru tukapewa jina la tume pekee na kuitwa "huru" wakati jina haliwezi kuifanya tume iwe huru, hii ni kama wenye mamlaka wamekwepa...
1 Reactions
2 Replies
237 Views
Ninaishi na mke wangu yapata miaka mitano sasa na tumebahatika kupata mtoto mmoja. Kwa kipindi cha mwanzo cha mahusiano yetu tulipokuwa tunagegedana tulikuwa tunafanyiana mautundu yote ya kizungu...
2 Reactions
125 Replies
15K Views
UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA. Wengi wanashauri...
3 Reactions
9 Replies
647 Views
Mimi ni Binti mwenye umri wa miaka 30, Natafata mume, Sibagui umri wala kabila, Karibuni kwa mwenye kuhitaji mke aliyekamilika na anayempenda Mungu. Atakaewahi atapewa kipaumbele Tukutane PM
30 Reactions
150 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…