Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wasalaam, kwa yule mwenye uhitaji wa wa patner.. vigezo.. Umri kati ya 32-40 dini mkristo kiwango cha elimu kuanzia certificate. sibagui rangi wala kabila.. NB...awe katika hali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imekuwa ni kawaida kuwa mwamaume unapokuwa na mwanamke kimapenzi hususani kitandani, kama hujamtomasa baadhi ya sehemu fulani fulani kama; mdomo, masikio, matiti, mapaja, uke na kinembe, shingo...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Natamani nipate japo dakika………….!!! ‘Naamini alikuwa ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwangu, nafsi inaniuma lakini sina jinsi` `Alinifuatilia kwa muda mrefu sana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mabinti wanakera sana, am very sorry for ladies! kwa sasa nimefikisha wasichana kama wanne hivi kuwachumbia na kama kawaida kuna swali wananiuliza "Una kazi"? wakati huo huo kati ya hao wanne, ni...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
mwenye kujua yuko mbeya lakini ni binti. awe mrembo co wale wakuwafunika uso. Aje Prvt nimpe kazi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Unaomba kazi ukiwa na vyeti vyote,umefaulu vizuri,Una-Qualify kabisa kupata hiyo kazi,Baada ya Interview Bosi mmoja anakufuata anakwambia Kazi Uliyoomba unaweza kuipata ila umechemka maswali ya...
6 Reactions
89 Replies
6K Views
Hii tabia ya mawifi kuingilia ndoa na mapenzi ya kaka zao naichukia sana. Yani mtu unajitahidi kuwaonyesha wema na upendo lakini mwisho wa siku unaonekana mbaya. Sasa najiuliza hawa watu huwa...
3 Reactions
68 Replies
11K Views
Nipo katika wakati mgumu sana ndugu zangu,nilitamka ahadi nzito na maneno matamu na kumhakikishia kuwa mimi sitamchezea bali atakuwa wangu wa maisha,,yeye aliamini na kunikabidhi moyo wake,mbaya...
1 Reactions
124 Replies
11K Views
Bongo Voice: FANYA MAMBO HAYA 7 KUZUIA WATU WASIINGILIE MAPENZI YENU! Sio mbaya kwa marafiki wa karibu au ndugu na jamaa kufahamu kushirikiana nanyi katika mapenzi yenu kama vile wakati wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kwa wale wakereketwa wa Dawa ya ndugu Julius Mahinya hasa walioko Dar es salaam, Samli, Asali mbichi pamoja na vitunguu maji vinapatikana kariakoo stend ya mabasi ya Mwenge. Magari ya kwenda...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Jana nilikuwa kazini, nikiwa bize na shughuli zangu ghafla ikaingia meseji katika simu yangu, bila ya kuwa na wasiwasi nikaifungua na kuanza kusoma: kwanza namba ilikuwa ngeni kwangu, pili maneno...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Salamu kwa wote! Jamani embu nisaidieni kwa ushauri, Hivi msichana unapomwambia mpenzi wako mkacheki afya hataki, unamshauri mfunge ndoa anakuambia ndoa ina process na hataki kulazimishwa. Pia...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habarini wanajamvini. Mimi nina mpenzi wangu ambae naweza sema tunapendana sana sasa kabla hajawa na mie aliwahi kuwa na mpenzi wake yaani gf kwa maana hiyo baada ya kuachana na yule ndipo...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Mwenzenu sijui nina mkosi gani jamani.kati ya watu kumi ninaowapa mkopo basi atakayerudisha ni mmoja tu, tena kwa mbinde kweli. mi huwa nawapa kwa nia njema, kuwa wenzangu itawasaidia na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport. Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Habari wana JF, Poleni sana na majukumu yanayowakabiri katika harakati zenu na kila siku na hongereni sana kwa hatua za kimaisha kila siku. back to the topic, nilikua najiuliza kitu kwa mda...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Mimi ni kijana aliyemaliza chuo kikuu , nina kazi nzuri , natafuta girlfriend awe mweupe na uzito zaidi ya kg 60 , mnakaribishwa wote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta mchumba umri kuanzia 18 -30
0 Reactions
3 Replies
853 Views
hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume au mwanamke nimoja ya hisia za msingi kwa mwanadamu wa kawaida kama ilivyo njaa au usingizi. kwaajili ya matatizo mbalimbali yaliyopo katika jamii, pamoja na...
4 Reactions
19 Replies
14K Views
Dume, salama, n.k hizi ni condom za kiume na huwa zinatangazwa sana katika matangazo kwenye redio na tv. Vp condom za kike ziliishia wapi? Kama zipo mbona co kwa wingi kama za kiume wala hazina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…