Tabasamu nipate furaha, si unajua bebe....

Tabasamu nipate furaha, si unajua bebe....

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Dume, salama, n.k hizi ni condom za kiume na huwa zinatangazwa sana katika matangazo kwenye redio na tv. Vp condom za kike ziliishia wapi? Kama zipo mbona co kwa wingi kama za kiume wala hazina matangazo kihvo?
Mwanamke hasa mke wa mtu anajisikiaje kuweka condom ya kiume kwenye pochi anaenda nayo kwa mwanaume mwingine..

Kipi kizaazaa kati ya mwanamke kumkuta mumewe anatoka na condom ya kiume mfukoni AU mwanaume kumkuta mkewe anatoka na condom ya kiume kwenye pochi? Tena ile asubuhi mkiwa mnaenda kazini?
 
Kaaazi kweli kweli.

Kwahiyo wewe ukimkuta mkeo/mpenzi wako ana condom za kike zilizotumika na wewe hujawahi kutumia nae utajisikia nafuu kuliko ukimkuta na za kiume?
 
hii habari ingekuwa kwenye mtihani lile swali la passage afu
a) suggest the suitable title
ningeandika "condom"
 
hii habari ingekuwa kwenye mtihani lile swali la passage afu
a) suggest the suitable title
ningeandika "condom"

siyo mbaya, kuna tangazo la condom linatumia hiyo bit
 
Kaaazi kweli kweli.

Kwahiyo wewe ukimkuta mkeo/mpenzi wako ana condom za kike zilizotumika na wewe hujawahi kutumia nae utajisikia nafuu kuliko ukimkuta na za kiume?

hapo zote hatutaelewana! Ni vigumu sana mwanaume kutembea na condom ya kike mfukoni au kwenye wallet, ila akitembea na za kiume ni sawa, unaweza ukawa ujasiriamali.
 
Hivi umechanganya ujumbe au mi ndo nimeingia sehemu sio? Kichwa tafauti.
 
Back
Top Bottom