Majibu ya vipimo vya vinasaba (dna) yahatarisha ndoa mbeya..

Majibu ya vipimo vya vinasaba (dna) yahatarisha ndoa mbeya..

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
ASILIMIA 40 ya wanaume waliopima VINASABA ili kubaini uhusiano wa kibaologia na watoto wanaowalea wamebainika kuwa WATOTO HAO SIO WAO licha ya kuzaliwa na wake zao au wapenzi wao.
Taarifa hiyo imetolewa na OFISI YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI kutokana na wanaume waliotaka kufahamu ukweli kuhusu watoto wao hadi january mwaka huu.

Source; Star tv habari.
 
^^
Mtu anaeitwa 'mke' ni wa kutazama tu
^^
 
Back
Top Bottom