Wakidhania wanatenda mema mbele ya Mungu kumbe wanafanya Sodoma na gomora - Ushauri wa haraka

mhhmmm! qudadeki.... hapo kwenye usagaji..! kazi ipo!

transforming a flirt into a good girl, is not a simple task... we need experienced advisers here..
 
Kweli Mkuu. Asaidiwe. Alafu binti mwenyewe decent kweli. Yeye hajitambui kama ana tatizo hilo. Utakuta anamwambia jamaa eti "Mimi nafurahia kunyonywa zaidi kuliko hata sex yenyewe". Anaitaji msaada. Afanyeje ili apone?
 
Ngoja nikuambie kitu ndugu, mwambie atafute binti mwengine tu kuepesha mattizo yasio ya lazima, ila jina lako nalo liana utata kutamuka
 
mkuu, hii ni kazi ya ziada..

nadhani kuna haja ya kumpa ushauri nasaha.. jaribu kutafuta madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, ama madaktari wa wanawake in general.. watakuwa msaada mkubwa sana kwake!

pili, inabidi apatiwe mtu ambae ni wa msaada kwake, mwanaume ambae saikolojikale anajua madhara ya haya mambo.. awe bega kwa bega katika kumbadilisha binti huyo...

naamini hakuna kinachoshindikana chini ya jua... MSHIRIKISHE NA MUNGU PIA.. MPELEKENI MAOMBEZINI!!!!
 
I thought you had all the experience that it takes to solve these issues? Lol. Wakukabidhi umhudumie mwezi tu na ulimi wake utazoea ladha ya sukari badala ya chumvi.
mhhmmm! qudadeki.... hapo kwenye usagaji..! kazi ipo!

transforming a flirt into a good girl, is not a simple task... we need experienced advisers here..
 
Mkuu anaitaji msaada huyu. Kama kuna namna nyingine tofauti na hiyo tumsaidie huyu binti. Yeye hajitambui.
 
Ngoja nikuambie kitu ndugu, mwambie atafute binti mwengine tu kuepesha mattizo yasio ya lazima, ila jina lako nalo liana utata kutamuka

mkuu, hii ni kazi ya ziada..

nadhani kuna haja ya kumpa ushauri nasaha.. jaribu kutafuta madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, ama madaktari wa wanawake in general.. watakuwa msaada mkubwa sana kwake!

pili, inabidi apatiwe mtu ambae ni wa msaada kwake, mwanaume ambae saikolojikale anajua madhara ya haya mambo.. awe bega kwa bega katika kumbadilisha binti huyo...

naamini hakuna kinachoshindikana chini ya jua... MSHIRIKISHE NA MUNGU PIA.. MPELEKENI MAOMBEZINI!!!!

Asante Mkuu. Ushauri umezingatiwa.
 
Binti anatakiwa akafanyiwe maombi mwanaume tafuta mwanamke mwingine huyo hakufai ..
 
I thought you had all the experience that it takes to solve these issues? Lol. Wakukabidhi umhudumie mwezi tu na ulimi wake utazoea ladha ya sukari badala ya chumvi.
Mkuu King'asti sema neno moja tu Roho ya huyu dada Ipone.
 
Binti anatakiwa akafanyiwe maombi mwanaume tafuta mwanamke mwingine huyo hakufai ..

Jamaa anaona ndo kila kitu hapo mkuu. Kama maombi yakisaidia si itakuwa Poa!? Ushauri umesikika mkuu.
 
miaka mitano hata KICHWA usizamishe ?is it real? pacha Excel njoo u confirm credibility ya hii habari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom