Wapendwa wana MMU ninayo furaha na Faraja kubwa kuwafahamisha kuwa
Mke wangu kajifungua salama Saa 12 asubuhi hii, nilitamani sana mtoto wa
Kike lakini kaja wa kiume, Yote kwa yote nimefurahi na...
Kila nikifanya kosa reference ya mazuri ni kwa e-x boy wake, oh baby mimi boy wangu alikua anaweza kuwithdraw nikiwa siku za htari, oh baby mimi boy wangu alikua anazama chumvini, oh baby mimi boy...
Kuna dem mkali nimekutana nae hapa sa nimemuita shem, sa anashangaa shem wapi wakati hanijui nikamwambia mwenzio sina hela sa watoto wazuri ka wewe naishia kuwaita shem.
Mwenzenu nina tatizo siwezi kukaa na mwanamke yoyote katika mapenzi nikimchoka namwacha kama utani.Tatizo hili limekuwa lininitokea mara kwa mara kila msichana nimpendae nikimchoka namwacha...
Wanajamvi naomba msaada,nimetokea kupenda sana wasichana wa kigeni.nilifanikiwa kuwa na rafiki wa kike wa kizungu kutoka Denmark nilii enjoy sana,akarudi kwao,nikapata rafiki mwingine wa...
Imekua tabia ya wadada weng sasa hv kuishia kulala na wanaume lukuki kwa sababu ya kupenda kuwa tegamezi na kuishia kutoolewa kwa sababu ya katabia hako.ushauri; hakikisha unafanya kila uwezalo...
Sababu anajua nini unachotaka kufahamu. Kama ni mzuri na mwenye kuvutia lazima atajibu ndio, na kama hana boyfriend jibu lake litakuwa hilo hilo ndio anaye. Wasichana wengi wanataka kuonekana wapo...
siku njema, binafsi shughuli zangu zinahusisha safari za mara kwa mara, na mpaka muda huu naingia jamvini nimefanikiwa kuimaliza mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani. tangu awali kuna kitu...
Kuna jamaa alimkuta mpnz ake anatumiwa pesa na mtu flan yule dada akawa amemdanganya jamaa eti ni dada ake na baada ya kufatilia akakuta ni mpnz wake. Ila jamaa akafanikiwa kustop mahusiano ya...
Nimesikia watu wengi wakiongelea Cream za kufanya maziwa ya wanawake kusimama. Kuna cream ambazo ni chache sana ambazo hazima madhara. Nilikuwa najiuliza, kwa kipindi fulani nilikwisha wahi...
hawatoi site hatakama kuna dharura gani ukiminya kidogo inakuwa kero,wanamapozi ya kujifanya wana class c+ zote duniani,mjiheshimu tutaanza kuwakwangua natoa taadhari,kama mna...
Nina umri wa kati ya miaka 25 hadi 30, nahc muda wangu wa kuoa umefika. Naomba mnipe ushauri. Nianze na kipi, kifuate kipi, changamoto gani nitakutana nazo, n.k
Mimi ni mkristo, RC.
Ushauri...
Jamani mazoea yanatabu, ni kawaida yangu kusafiri kikazi lakini safari huwa sio za kukaa muda mrefu kiasi hiki. Leo ninasiku ya nane nipo hapa Moro usingizi umegoma kabisa ninahisi kama nimekosa...