Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari MMU - Kwanza watu wazima sio wasumbufu compared na hawa wadogo. Hawa wadogo wengi wao ni wasumbufu, atataka akupige dana dana kwanza na mizinga juu ndo "akupe". Ila watu wazima walaa, ni...
0 Reactions
156 Replies
16K Views
I really need advice from this blog. I have a friend who once asked to escort him visit his girlfriend.While there, as usual, u will expect that one way of greetings ought to be through hugs, well...
1 Reactions
6 Replies
996 Views
Kutokana na maumivu yanayo sababishwa na mapenzi kuna wengine kati yetu wameshakata taama ya kuingia tena kwenye uringo wa mahusiano, ninapozungumzia maumivu kwa wale ambao yamesha watokea...
4 Reactions
217 Replies
20K Views
Jamani naombeni kwa wale wadau wa muda na wenye ujuzi na mapenzi na mahusiano. Mwanamke mwema unamjua kwa kutumia vigezo vp? Halafu sijawa na utalam wa kutupia uzi yaani uzi wangu baada ya muda...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaamu wanajamvi, Ikiwa leo ndio siku ile wanayoita ya wajinga duniani ilihali wote ni wajinga kila siku katika maeneo mbali mbali huku tukiendelea kujifunza. Naomba nitoe angalizo leo kwamba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Alikuwa mpenzi wangu kabla ya kuposwa na kuolewa japo iliniuma sana nilisahau maisha yakaendelea. Amejaaliwa kupata mtoto moja na maisha yanaendelea na mumewe. sasa siku hizi ameanza kamchezo...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa muda baadhi ya mada ambazo zinahusu mapenzi na ukabila huku baadhi ya watu wakipinga kwamba katika jamii yetu ya leo hatupaswi kuongelea masuala ya ukabila kwenye mapenzi...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mimi ni mkenya,namtafuta mchumba wa kuoa kutoka Tanzania., Age between 21 to 24 awe serious ,my email adress ni vinropyah@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo tar 31-03-2014 Mimi Amicus Curiae... Nikiwa na akili timamu na pasipo kushinikizwa na mtu yoyote. Naapa kuacha POMBE rasmi tarehe ya leo kwani nimegundua matumizi ya kileo ni ubatili mtupu...
17 Reactions
134 Replies
9K Views
Habari wapendwa, Natumai wazima,majukumu ni kawaida.. Wale wapenzi wa kuiba waume za watu/ Waume Msiotulia na wake zenu Shostito anadate na mume wa mtu, kammiss jibaba na kuamua kumtext "...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Ni Lini Binadamu:- -Walikusifu Wakakosa "KUKEJELI". -Walikusaidia Wakakosa "KUTANGAZA". -Walikupenda Wakakosa "KUTAJA KASORO". =*Walikupongeza Wakakosa "KUSEMA SIYE". -Walikuelekeza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wana JF ha ke kama nilivyokusudia kuuliza swali hili kupata kujuwa kitu kutoka kwao. Hivi ni muda gani mnadhani unatosha kumfanyia vetting mwanaume ambaye anataka kukuoa ili ujiridhisha...
0 Reactions
65 Replies
6K Views
Mwanaume acha kucheka cheka hovyo na upuuzi ukiwa mjini MKEO ATAKUWA ANAPAKULIWA HOVYO...haya fuata haya UTAONA MAPENZI yatakavyo nyooka...wanawake viumbe vilivyoumbwa kwa kudanganya...
8 Reactions
109 Replies
13K Views
Nahitaji Rafiki wa network, Nikiwa na maana wa mtandao tu,iwe fb,jf,whtspp etc, Kwa kubadilishana mawszo yote kwa ujumla
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau wa MMU, naomba mnisaidie hili, Kwa kijana wa kiume ni umri gani sahihi wa kuwa na mtoto? Na vipi kwa mabinti?
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari za leo wana JF. Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nimeajiriwa. Tatizo ambalo ninalo ni kuhusu mpangaji mwanzangu (ke) kaambiwa natoka kimapenzi na hawara yake lakini ukweli huyo hawara yake...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
wadau habarini! jamani mwenzenu nina tatzo moja nikitokea kumpenda bint huwa nampenda sana na hufkia hatua ya hata yy kujua hisia zangu sana,na kngne naomb mnisaidie hl jambo kuwa nikimwambia...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nimegundua kuwa wanandoa wengi wanaogombana au kuachana walikuwa hawafahamiani vema wakati wa uchumba, Suala la kuoa/kuolewa ni kama ujasusi, ambapo mtu analazimika kutafuta habari za upande wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
kuna mpangaji mmoja asubuhi kibiti cha mama mwenye nyumba wake kilionekana machoni kwa mama yake kikitokea geto kwa jamaa sasa mama mwenye nyumba akasikika akisema"jamani huyu mtoto masikin "...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sioni kama hapa naweza kuwa na maneno yakukwambia kwani nikisema niongee nitakuwa namaliza bandwidth ya watu! maelezo muhimu ni kichwa cha habari.Maswali hayatajibiwa! ila ushahuri utapokelewa! Je...
2 Reactions
163 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…