Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naomba kuelewa mchango wa nyakati katika uadilifu kwenye ndoa na mahusino?. Kwa upande wandu kama mwana mapinduzi wa kifikra ninaamini kuwa mapenzi ya zama zile za mababu na mabibi zetu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa yangu kaja nimshauri lkn nimeshindwa naomba msaada wenu Tatizo lenyewe nikwamba jamaa anapokuwa na demu anakuwa na mzuka sana wa kugonga na akigonga kagoli kamoja tu mashine...
0 Reactions
2 Replies
937 Views
a lady for week end leisure is wanted. Get in touch
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za j'pili, leo niko pande za Tanga atakae taka kampani yangu anipm karibuni.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajamii. Kwa jina naitwa Rashid Ali Nyakunga,ni mwenyeji wa Tanga,nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5.nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo...
1 Reactions
64 Replies
10K Views
natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke na mama wa watoto wangu about age asizidi 25 yrs mambo mengine sijali cha msingi ni upendo wa dhati tu. atakaye guswa anicheki hapa 0687062616 au...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimefanya utafiti kuhusu mahusiano ya watu mbalimbali katika jamii ya kitanzania, nikakuta kwamba watu wengi wamekuwa na mahusiano ya kimapenzi zaidi na watu wa makabila yao. Kitu cha kwanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namsikiliza dr mmoja kupitia radio free africa kipindi cha sayansi ya mimea na tiba kutoka the fathery sanitarium clinic(sp error???) anadai simu zina punguza nguvu za kiume kwa % kubwa na kama...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
kama una sera mbadala una weza kuongezea kwa faida ya wana MMU.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa yangu wa karibu amepanga maeneo ya Mbezi, na mwenye nyumba anaishi nyumba ya pembeni. Jana kaja kwangu anataka ushauri, nikamwambia asubiri niongee na wazee then nitamjibu ! Ni hivi, huyo...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Natumai wote mpo poa!! Naomba kila mtu ataje jina la mtu anaempenda na kumkubali sana humu jukwaani na ukishatajwa basi jua wewe ndie shabiki na chaguo la aliekutaja nakuanzia hapo sio mbaya...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ladies, do you feel unexcited by your partner? Soon there might be a pill for that. A scientific research company is currently seeking FDA approval for a new drug which is being touted as “the...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kwenye mahusiano ya kimapenzi bwana kuna mambo mob sana kweli tukue tuyaone upo kwenye mahusiano na mtu na mnakwenda sawa kwa shida na raha kuna wakati anakukosea kosa lenye sura ya kutaka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja.Tumekaa nae kama miaka 4 bila kufanya nae tendo la ndoa kipindi hicho bado tunasoma.Baadhi ya marafiki wanasema kuwa ana HIV.Lakini naogopa kumwambia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
I great you all Dini hizi kubwa mbili kupitia vitabu vyake vile, zinasisitiza kujisitiri kwa mwanamke, na hasa wakristo ambao wamekua na tafsiri tofauti juu ya kitabu chao. Tena unakuta mdada...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa 21 natafuta marafiki.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaume wafupi mkoani Morogoro wapanga kuandamana kudai haki ya wao kupendwa na wanawake maana imeonekana kundi hili linaongoza kwa kudharauliwa hasa na jinsia ya kike. Mwenyekiti wa kamati ya...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu kwenye blogs za hapa bongo nimekutana na kisa hiki. Jamaa ni muumini mzuri wa ile blog.. sasa katika pitapita zake kakutana na picha za "utata" anazohisi ni za wife wake...
0 Reactions
52 Replies
8K Views
Habarini za mapumziko ya mwisho wa wiki, kama tittle ilivyo ni kuwa nina mafua makali tokea jana asubuhi. Nimeshatumia dawa lakini sina ahueni, ila naamini maombi yenu pamoja na ya kwangu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…