Mwenyezi Mungu naomba unibariki zaidi,nipe nguvu zaidi ,busara na Ujasiri zaidi
Mungu ni mwema,Mungu ni muweza wa vyote na ndo anagawa ridhiki kwa kila mtu,leo tarehe 14/4/2014 ni tarehe yangu...
Jana asubuhi nilikuwa na kipindi cha MTH 1O6(wazoefu wanaijua) katika chuo fulani hapa Tanzania,wakati tunamsikiliza ticha kuna binti alikuja ila alikuwa late..Basi akaniomba nikaenae kiukwel she...
Mmh nchi za watu bhana.......eti mpka umpate mtoto(mwanamke) muunguja au mpemba kama ni mtanganyika lazima upite stages tano....
1. Kumtongoza na vocal za maana... mpaka akubali...
2. Akikubali...
Kwa mfano ww uko kwenye group task namaanisha (kazi ya kundi) then mkakubaliana na wenzako mkutane sehemu (x) kwa ajili ya kufanya shuguli flan then ww ukiwa kama mmoja wa watu ambao wangetakiwa...
Habari ndugu zangu,
Nashindwa kuelewa mpaka sasa nimetokea kupendwa na mume wa mtu tangu niingie kwenye mahusiano sijawahi kuwa na mahusiano na mwanaume ambaye yupo single,
Amekuwa akinisaidia...
Mvua zinaendelea na ndugu zetu wasafiri wamekwama maeneo ya Ruvu mpaka mlandizi kutokana na kujaa maji kwa daraja la ruvu.
Lengo la uzi ni kueleza hali halisi inayotokea zinapotokea dharura kama...
Kuhusu mimi
mm NI MVULANA nina miaka 26 nimemaliza chuo kikuu mwaka jana bado sijaajiriwa
nahitaji marafiki wa kike tu wa kuchati popote walipo tanzania.
Sifa za marafiki wa kike ninao...
Matumizi ya vyakula na vinyaji vyenye sukari nyingi za viwandani kama vile soda, chocolate, juice zisizo halisi, nk, ni hatari sana kwa afya yako, hasa afya ya mahusihano,,,sisi tunatoa ushauri na...
Ka uko A Town tusomane natafuta kiukweli demu wa kusukuma naye siku ili maisha yaendelee sina option yoyote 4 now kuwa nitafanya nini baadaye but now ni kula gud tym tu :D:D:D:D:D
SAD TRUTH BUT HILARIOUS;
BEFORE MARRIAGE;
Boy: I have been waiting for this
day for a long time.
Girl: Do you want me to leave?
Boy: No!
Girl: Do you love me?
Boy: Ofcoz.
Girl: Will you...
Chukueni hili katika akili zenu. Hamna kitu kinacho itwaa urafiki wa kawaida kati ya mwanaume na mwanamke. Urafiki wa kawaida wa muda mrefu inapelekaa marafiki kufikia katika clear temptation na...
Nina umri wa miaka 28, mtumishi wa serikali katika wizara fulani hapa Dar, urefu wangu 175-180cm, unene 75kg. elimu yangu degree holder, sura yangu maji ya kunde. Napendelea kuwatch football na...
Habari wana MMU,
Katika hali ambayo imezoeleka na vijana wengi kuhusu hatima yao katika mahusiano ya kimapenzi juu ya wenzi wao iwapo wataoana au la
moja ya jibu lililotawala kwa vijana wengi ni...
Kuna tabia ambayo nimeiona na ipo kwa wanawake wengi hususani wenye watoto
1.utakuta mwanamke/mama anamlisha mtoto chakula akichota na kijiko Lazma kipite mdomoni kwake ndo ampe mtoto...
Nina mpango wa kumuoa binti MSUKUMA kwani nawapenda kweli! Hivyo basi nimeamua kuwashirikisha hili ili tubainishane mabaya na mazuri kwa hawa wenzu wasukuma. Yaan kama wanafaa kuwa wake au laah...
Love for Life? 12 Animals That Are (Mostly) Monogamous [Slide Show] Is monogamy a myth even in the animal kingdom? Not necessarily. A look at animals that are said to pair off for life
12 of...
Natumaini mu wazima wana MMU,
Jana mpenzi wangu kanipigia simu na kuniambia njoo home,
Nami mbiombio mpaka home nilipofika home akanambia nina suprise yako
nikamuuliza suprise ipi?
Akaniambia...