Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 620
Natumaini mu wazima wana MMU,
Jana mpenzi wangu kanipigia simu na kuniambia njoo home,
Nami mbiombio mpaka home nilipofika home akanambia nina suprise yako
nikamuuliza suprise ipi?
Akaniambia fungua mwenyewe
Kufungua nikakutana na DUME CONDOM
Ki ukweli sikuifurahia suprise hiyo.,
Je wewe ulishawahi kutana na suprise ipi?
Na uliichukuliaje?
Enjoy yourself.,