Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti...
3 Reactions
8 Replies
507 Views
Leo wakuu nilirudi katika Chuo nilichosomea, kuna course nilienda kusoma ya mwezi mmoja Baada ya kumaliza course Leo nimeenda kuchukua cheti changu Dah, mhudumu alikua mwanadada wakuu sio poa...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Salamaleko Tumsifu yesu kristo. Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono. Na sasa nipo...
23 Reactions
148 Replies
3K Views
Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwenye swala hili nahisi limenipita na dunia imeniacha, Samahanini wana JF hivi vipipi mahaba ni nini? Maana kila sehemu nikipita kwa baadhi ya watu wanazungumzia sana na wapo wanaonunua mpaka...
5 Reactions
74 Replies
18K Views
Kama mwanamke ana uhuru na munkari wa kuchagua bwana mwenye pesa zaidi ili aishi vizuri iweje wewe mwanaume uendeshwe na hisia bora liende na kutaka sifa ya kuwa una mke mkali mtaani. Yani...
7 Reactions
20 Replies
845 Views
Je, unawaza kumpa talaka mke wako au mme wako? Kama una mpango huo, ngoja nikutajie hasara 20 za kupeana talaka, kabla hujafanya uamuzi utakaoathiri maisha yako. Zifuatazo ni hasara zinazoweza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Closed
Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman...
47 Reactions
177 Replies
7K Views
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini...
14 Reactions
116 Replies
5K Views
Mama mkwe kamkuta mkwe (mume wa bintiye) sebuleni akiwa kafura na kapandisha hasira anadai ataua mtu. Mama Mkwe: Mwanangu kwani kuna nini jamani? Jamaa: Leo namuua mwanao, mshenzi sana. Mama...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha. Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear...
18 Reactions
76 Replies
3K Views
One of my boys got sick, so I took them both in for tests. Nothing major, just being cautious. A few days later, I went to pick up the results, and that's when everything flipped upside down. The...
10 Reactions
82 Replies
4K Views
Nipo Dodoma kibiashara. Nikiwa hapa huwa napenda kula mgahawa mmoja Uhindini unaitwa Chef Asili. Jana mchana wakati napata lunch, akaja mdada wa umri kati ya 30-34 akakaa meza ya pembeni yangu...
35 Reactions
367 Replies
21K Views
Kwa mujibu wa vitabu vya dini ni kwamba mwanaume ni kichwa cha familia na Mwanamke ni msaidizi wake.Kwa maana mkuu wa familia ni baba ,huku mama anakuwa mkuu wa familia pale ambapo baba hayupo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Hope u fine. Hii imetokea kweli, kuna vijana wawili baba yao alifariki ghafla wakabaki na mama yao. Kwao ilikuwa mambo mazuri vijana wakisoma secondary nzuri O level. Baada ya mwaka 1 toka baba...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimekaa na huyu dada muda mrefu toka asubuhi. Tunapiga stories n.k akasema anajisikia baridi.nikamwambia basi nizime AC akasema hapana nimkumbatie. NIkamkumbatia.basi akaanza kama kulalamika kama...
15 Reactions
75 Replies
4K Views
Imani yao haina shida shida hawajui juu ya kile wanachokiamini, maana imani zipo za aina mbili Imani sahihi na imani Potofu sasa wao wapo kwenye imani potofu Kwanini ni potofu, ukija kwenye...
45 Reactions
182 Replies
7K Views
Ni ndugu yangu huyu mtoto wa baba mdogo Mwaka jana nilimwambia vipi ndoa akaniambia mwaka huu, basi nikaona hakuna tatizo Mwaka ndio umefika huu nikaona nimkubushe vipi kuhusu ndoa, ni ghafla tu...
2 Reactions
20 Replies
913 Views
Don't give your woman a life that you have not giving to yourself. Don't buy your woman iPhone 12 while you are managing Spark 4. Don't buy her the best of clothes, while you starve yourself of...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Don’t always think a woman will leave you because you don’t have money. A reasonable woman won't leave you because you don't have money. A woman will actually leave you: 1) when you refuse to...
15 Reactions
93 Replies
85K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…