weraa weraa wana MMU-ila naombeni mnipe mawazo yenu hapa!
Miezi mi3 ilyopita nlimeet na shorry fulan she is very good in bed and behaviours too.
ila sasa wakat wa kumegana ndio balaa akishafkaga...
Copy and Paste
Tuache kuwaita watu majina ambayo sio sahihi. Tuwaite kwa majina yao ya kitaalamu kutokana na ujuzi na kazi zao!
*Shambaboi jina lake la heshima ni Landscape Executive and...
katika hali ya kawaida mnapo kuwa wapenzi mambo mbalimbali hufanyika mnapo kuwa wapenzi na kupelekea kupeana zawadi mbalimbali.
nilikuwa na mpenzi wangu ambaye ilikuwa yaelekea tuwe wachumba siku...
Habari wanajamvi?
Jana nilifika hospitali fulani hapa mwanza kumuona dakitari katika shida zangu binafsi, nikakaa katika sehemu ya kupumzikia wagonjwa nikisubili aniite, nikiwa nimejichanganya...
Siku yangu ya kwanza "kupiga game" nilijichukia sana,
Nilijihisi mwenye hatia,nikapga tena na tena na tena NIKAZOEA ile hatia niliyokuwa nahisi toka ndani .
kwangu(ALARM) ikapotea ikawa hata...
Aje friends?
Post yangu hapa sio mahala sahihi sana ila naiman mtanielewa..
Moja post hii inawahusu wanaojielewa na watu wazima kuanzia miaka 27 na kuendelea..
Pili ukiwa muajiriwa, umejiajiri...
Wasalaam wanajamvi....it has been a while ila naamin sote tu wazima...
Baada ya kuamua kua-single boy maisha yalienda poa sana..na garama za maisha zikapungua....
Kihoja ni kua baada ya kukaa...
Habari ya jumapili wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa sababu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana karibu mikoa yote Tanzania...
Hbr yenu wakuu
Nawaalika tujadili kwa pamoja kama ni vyema Mke na mume kukaguana simu.
Nijuavyo Mimi simu ya kiganjani ni Mali binafsi kwa matumizi binafsi na haipaswi kutazamwa na mtu asiye...
jamani
samahani kwa kuingia bila hodi yote ni utamu ktk jamvi hl nimeingia
bila hod kwa kuweka coment zangu,so naomba mnikaribishe please kina miss
chigga,heaven on earth nk.
Wataalamu wa mapenzi na wanasaikologia wanakubalia ni kwa kiasi gani vitu unavyokula vinahusiana na uwezo wako wa kufanya mapenzi. Kwa umakini kitu chochote kizuri kwa moyo wako ni kizuri kwa...
Usikubali kuwa msaliti na usishawishike kuwa msaliti,
Minaona tamaa ndio chanzo cha usaliti ila tukiachana na tamaa usaliti utakuwa mdogo tena itakuwa vizuri katika uhusiano kwani uaminifu...
Mwanaume wa kwanza, nilikutana nae kidato cha tano lakini baada ya matokeo kidato cha sita aliniacha eti kwa sababu mimi nimefauru hivyo chuo lazima nitamsaliti nilimsihi sana kwa sababu...
Jamani wazima wanajamvi?
Last time tulijulishwa kuwa ile party ya wana JF sasa itafanyika June 2014 pale Serena Hotel.
sasa mbona kimya na mwezi ndo huu, kulikoni wale waratibu wa hizi...
Nimesema lawama wabwagiwe wanaume kwasababu, wao wamekuwa kama ndio chanzo cha kuchochea wadada wengi kufanya hivi. Laiti wao wangeanza kuonyesha kukerwa na haya sidhani kama wadada wangehangaika...
Tokea aolewe kwa ndoa na mumewe hata miaka miwili haijapita, kabla alikua yuko poa tu kwenye uchumba japo yalikua mapenzi ya mabali wanakutana kipindi cha likizo au kutembeleana, baada ya kuoana...