kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
Wataalamu wa mapenzi na wanasaikologia wanakubalia ni kwa kiasi gani vitu unavyokula vinahusiana na uwezo wako wa kufanya mapenzi. Kwa umakini kitu chochote kizuri kwa moyo wako ni kizuri kwa tendo la ndoa. Vifuatavyo ni vyakula vinavyoongeza hamu na nguvu ya kufanya mapenzi.
1. Spinach na mboga za Majani
Spinach ni chanzo kikubwa cha magnesium ambayo inasaidia kupanua mishipa ya damu, kwa mujibu wa watafiti wa Kijapani. Utiririkaji mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi (kama ulivyofundishwa) huongeza mhemuko kwa wanaume na wanawake.
2. Chai isiyo weka vitamu (Unsweetened tea)
Antioxidant catechin inayopatipatikana katika chai inasaidia mtiririka mzuri wa damu mwili mzima kwa hivyo kuongeze uwezo kwa kufanya tendo a uwezo wa ubongo, inasaidia kuongeze kumbukumbu pia umakini.
3. Machungwa
Wanaume wanaokula zaidi ya miligramu 200 ya vitamin C kwa siku wanaongeza wingi wa manii na uwezo wa mapenzi, hii inathibitishwa na utafiti ulofanywa na Chuo cha University of Texas Medical Branch.
4. Mayai
Mayai yana vitamin B6 na B5 ambayo inasaidiwa kubalance homoni na kupunguza stress na ni muhimu kwa afya ya viungo vya uzazi.
5. Wine Nyekundu (Red Wine)
Watafiti wa Italia hivi karibuni waligundua kuwa antioxidants na kilevi katika wine (divai) inaweze kusababisha kutengenezwa kwa nitric oxide katika damu ambayo husaidia kuta ya damu kupumzika kwahivyo kuongeza mtiririko wa damu katika viungo vya uzazi. Kunywa glasi moja au mbili tu, usizidishe. Ukinywa zaidi ya hapo utapunguza uwezo wako wa kufanya mapenzi.
6. Nyama
Nyama nyekundu ni chanzo kikubwa sana cha madini ya Zinc, madini ambayo ya husaidia kupunguza uzalishaji wa homoni iitwayo prolactin ambayo ina kiwango kikubwa sana katika kuchangia kupunguza uwezo wa kufanya mapenzi. Zinc pia ni madini muhimu katika kujenga misuli.
7. Maharage
Kula maharage kutakusaidi katika maisha yako ya mapenzi. Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa maharage ya madini ya potassium ambayo inasaidia ku-control presha ya damu na mapigo ya moyo, kitu ambacho utahitaji pindi moyo wako unaopanza kufanya kazi ya ziada wakati wa tendo.
8. Samaki wenye mafuta
9. Oats
10. Oysters and other shellfish
11. Dark chocolate
Chanzo;umbeamtupu