Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 551
- 156
Habari wanajamvi?
Jana nilifika hospitali fulani hapa mwanza kumuona dakitari katika shida zangu binafsi, nikakaa katika sehemu ya kupumzikia wagonjwa nikisubili aniite, nikiwa nimejichanganya eneo hilo nikapata nafasi ya kubadilishana namba na binti mmoja, mida ikafika mwenyeji wangu akaniita, katika process za kuagana aliniambia, ''wale pale ni waathirika, wanasubiri dawa zao'' nilishangaa sana kwani walikuwa na afya nzuri, walikuwepo wakinamama, watoto, kinababa, mabinti warembo wenye viuno, waliojipamba wakapambika.
Jioni nilipata simu kutoka kwa yule dada kwenye maongezi nilimweleza shida iliyonifikisha hospitalini, nae aliniambia ukweli alikuwa pale kupata dawa zao na aliniomba tukutane J'pili anataka kunieleza jambo.
Kitu kinachonisumbua kichwani tangu jana kila nikimwona binti mrembo ninamwona kama muathirika na pia NIMEJIFUNZA:
1. Kamwe sio rahisi kumtambua muadhirika kwa kumtazama.
2. Tuwe tunatumia kondom,