Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukiondoa suala la mwanaume pesa, ni mwanaume wa namna gani anayekuvutia? najua ni vigumu kusema mitaani lakini naomba hapa mtandaoni mfunguke kwa uhuru.
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Inasikitisha hasa kwa dada zetu,watoto wetu wapendwa wamekwenda kujifunza maisha hata week haijapta Leo napigiwa cm Usiku Huu at kuna askari mmoja anamlazimisha Mdada Mapenz kakataliwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
''Juan worked at a meat distribution factory. One day, when he finished with his work schedule, he went into the the meat cold room (Freezer) to inspect something, but in a moment of bad luck, the...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
kupenda ni nini jamani maana sina jibu mwafaka
0 Reactions
19 Replies
13K Views
wanakijiji mmeshindaje? mnachukuliaje swala zima la wapenzi kuwa marafiki facebook,twitter, na hata hapa JF?...yaani mpenzi wako anajua kabisa jina unalotumia hapa JF. Mi naona sio jambo...
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Hello people,kweeli hali ya kuingiliana kinyume na maumbile imekuwa kitu cha kawaida saana kwenye jamii ya ki Tanzania,chakusikitisha zaidi,wale walioelimika zaidi ndio wanaoshuhudia na kudai...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam! Ni stori ya kweli iliotokea kwenye moja ya majiji makubwa hapa tz: Jamaa alioa mwanamke aliekwishazaa mtoto mmoja na mwanamme mwingine kabla ya kumwoa. Ni mtoto wa kike. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
mi ni mgeni lakin nina mpenzi wang wa kiume, tuko mikoa miwili tofauti nampenda sana na sijawai kuwaza kumsaliti lakin nimempigia simu usikuu huu kapokea bila kujijua nkawa namsikia anamwita...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi, Nimeweka hii post hapa sababu ya moja ya kauli mbaya nliowahi kujibiwa na mpenzi wangu wakati namfuatilia awe wangu. "Kuliko nikupe papuchi yangu bora nimpe mbwa"!! Hii...
2 Reactions
168 Replies
22K Views
Sehemu zinazompa mwanamke raha Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya...
3 Reactions
65 Replies
175K Views
1. Atakuletea staili mpya. 2. Mapenzi yataongezeka ili kukuzuga. 3. Gharama za matumizi kama saluni, mitoko na vocha hupungua 4. mkeo hatakuwa na stress Wala hatakupa stress 5...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Hapa ndani akitupia post binti kutaka mchumba coments zinatiririka hadi dah...SASA ngoja atume mwanaume hapo,inaliwa mikausho hadi lah...!kwamba mabinti wao ndo vipi? waweza kuta (0)wiki zima...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi ni kweli kama mwanamke ametembea na wanaume wengi ni rahisi kuchepuka kama akiolewa na mme wake asipomridhisha?uzoefu unahitajika.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Zamani wanaume walikuwa wakitaka kuoa wanachagua au kuchaguliwa wasichana wenye tabia njema, yaani heshima,adabu,utii na wachapa kazi. Siku hizi vijana wanaweza kukutana na mabinti bar wakapeleka...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Man oh man...Marvin Gaye was off the chain.... YouTube- Marvin Gaye Lets Get It On
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari zenu wadau.Hivi inakuwaje pale girlfriend wako anakutambulisha kwa rafiki yake mpendwa naye rafike yake anakuwa na mazoea na wewe kwa kasi sana kuliko girlfriend wako????.Hii inaweza...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Dirty secrets behind your cellular phone The mobile phone has brought people much closer in the past two decades or so, but the gadget has also been a source of misery and serious...
10 Reactions
51 Replies
8K Views
Kipi uliahidiwa/ uliahidi kwa mchumba/mke au rafiki yako lakini hujatimiziwa au hujatimiza ingawa bado hujaisahau ahadi hiyo na kila umuonapo aliyekuahidi au uliyemuahidi huwa unaikumbuka? Mi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mm Ni Kijana Wa Kiume Mwenye Umri Wa Miaka 23, Nahitaji Binti Wa Kuchat Naye Na Awe Mwenye Umri Kati Ya 18-30, Nambar Ya Sim 0717327554, Pia Anaweza PM.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…